Naomba kujua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujua

Discussion in 'JF Doctor' started by Sala, May 21, 2012.

 1. S

  Sala Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hivi kuna mazoezi ya uume? I mean unaufanyia mazoezi ila unapokuwa ktk mapenzi sio ndani ya dk 2 umemaliza. Kwa mtu mwenye tatizo kama hilo mnamshaurije?
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Pole sana
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kuchelewa ni akili, na kuwahi ni akili...inategema akili yako unaitumia vipi pale uko kwenye chumba cha operation.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 861
  Trophy Points: 280
  Makubwaa
   
 5. mbalu

  mbalu JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sala wewe ni ME au KE? nenda kwa wakubwa utafunzwa zoezi la huo mzigo wako na namna ya kuutumia ili uwahi ama uchelewe.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. LARRYBWAY

  LARRYBWAY Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yapo kaka ..yanaitwa KEGGELLY EXERCISE hata ukihitaji kufahamu yanafanywaje unaweza ukachek hata kwny YOUTUBE jinsi ya kufanya..,ila ngoja nnikupe kidogo jinsi ya kufanya hilo zoezi.,kwny **** yako chini kuna pumbu baada ya pumbu katikati ya pumbu na ****** au anus kuna mshipa umepita..sasa iyo mishipa inaitwa pobbococytes au pb..cha kufanya ukiamka asubuhi au wkt umebanwa na mkojo usminye huo mshipa kisha fanya kama unauforce mkojo kutoka alafu ucutoe fanya kama unauchezesha.. yan unautoa na na kuurudisha xema uckojoe..,ukimaliza zoez ndio waweza kupissy..fanya mara3 kwa cku utaona mafanikio
   
 7. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  UPUNGUFU WA NGUVU ZA …………………..
  Hii ni awamu ya pili, ingawa sikupata maelezo yoyote ktk ile awamu ya kwanza , kuonyesha matokeo na mabadiliko, ila kwa mtu mmoja tu alipata matokeo mazuri wengine mlikaa kimya. Naanza ;
  T umia mchanganyiko maalum wa tende, maziwa ya mbuzi na unga wa hiriki, hii ni zaidi ya Viagra.
  1. Chukua kiganja kimoja cha tende, loweka kwenye maziwa ya mbuzi lt moja acha vikae usiku kucha.
  2. Koroga mchanganyiko huo siku ya pili hadi upate rangi moja.
  3. Weka asali kiasi cha vijiko 3 hadi vinne vikubwa , chukua unga wa hiriki kijiko cha chai changanya pamoja, koroga mchanganyiko huo kwa sana.

  Unaweza sasa kuanza kutumia ; kunywa nusu kukombe asubuhi na jioni , utaanza kuona mabadiliko kuanzia siku ya pili ana tatu, endelea kutumia hadi utakapo jihisi uko safi, yaani one kick unavuta mafutaaaaaaaaaaaa hadi dk 25 ndo unabadili gia…………..
   
 8. MASELE

  MASELE JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 706
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  hiyo rahisi sana nenda kwenye socket ya umeme chukua waya wa umeme wenye moto (live) kisha utukumbukize chooni (choo cha kufurashi) hakikisha kuna umeme unapita kisha uwepekupeku (usivae viatu), kitu cha mwisho kukifanya kujoa (chooni) kama kawaida, fanya hivyo mara moja kwa siku ndani ya week utakuwa fiti
   
 9. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  we muuaji
   
Loading...