Ving'ora na msululu wa gari za polisi kutokea Ukonga

wewe ndo wa hovyo,,,,sijui ubaba alokupa nani huenda mtoto umebambikiwa tu mdau,,,,maisha yenyewe yanakupa tension,,,,yaani umeona waislam tu ndo wanaoleta tension nchi hii shwain weeeee

jamani pole! Maisha kwa Yesu ni amani mwanzo mwisho.
 
aiseee mkuu leo mkuu wakati nipo kwenye daladala.......msikiti wa kichangani pale magomeni nimeonaaaa watu wamejaaa tokea saa 12....asubuhi ninaisi siku ya leo .....huenda haitaisha vizulii:shock:

mie nimeleta taharifa uku kinachotokea temeke mods wameifuta thread..leo nchi inaweza kushuudia hatari kubwa.
 
Aiseeee babaangu huku kwetu rombo hali ni swa swali kweli 2naendelea na shughuli zetu za kulima za kila siku tena ni msimu wa maindi
 
kuweni na amani,jeshi la polisi lipo kwaajili ya kuhakikisha wanadar es salaam wako salama pamoja na mali zao.so hakuna mwenye nguvu zaidi kwa jeshi la polisi ni busara tu imekuwa ikitumika kiasi kwamba baadhi ya watz wamedhani kama wan wana mamlaka zaidi ya jeshi la polisi.

amani kwa kuua wananchi, kwa kuwapiga virungu na mateke, makofi. Sheria gani inasema hivyo? Matokeo yake ni kuuliwa kikatili kwa kujipeleka kwao kichwa kichwa kufanya upuuzi walioagizwa na wakubwa wao.
 
wafanye kazi gani ndg Sweeper wakati kazi yao kubwa ni kuvamia makanisa na kuiba kama mafundisho yao yanavyosema,yani leo kwenye taarifa ya habari usiku kama unaangalia muvi vile stering polisi maadui waislamu na kama kawa stering hafi lakini maadui wanakufaga wote
 
Hawa jamaa eti wanavaa suruali fupi wasichafuke, jamani humu duniani kuna mambo!!! hivi ni mungu gani huyo anayeangalia uchafu wa suruali?
Mungu wetu anakuhusu nini wewe??
Kama humjui mungu wetu, subiri leo ndo utamjua sasa!!
:llama::llama::llama:
 
Huku Zanzibar polisi wote wamekimbia makwao kwani sasa wanagongewa na kupewa kibano, wangi wameshapigwa na mali zao na nyumba pia kuteketezwa eti ni Vikosi vya Tanganyika.
 
mie nimeleta taharifa uku kinachotokea temeke mods wameifuta thread..leo nchi inaweza kushuudia hatari kubwa.
Mkuu, what happened?....hebu elezea vizuri, haiwezi kufutwa kama ina contents za kutosha na zisizo na shaka.

Funguka..........Ttakulinda kwa MODS......kazi ni kwako.
 
defender 8 nyingine zilizo jaa maaskari na gali moja la maji ya kuwasha zimetokea ufundi kuelekea mjini. walikuwa na bendera nyekundu huku gari zote zikiwa zimewasha taa. hii inaonyesha hali ya hatali. tatizo moshi wa bomu la machozi hauangalii alie andamana au mpita njia. wazanaki wanasema wote mang'anyang'a. so ni vizuri kuwa makini na maisha yako binafsi hasa wakazi wa mnazi mmoja. kwa hisia zangu wanaenda kutanda pale kidongo chekundu, mambo ya ndani na pale police central. sipati picha leo. mia
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom