Wauza filamu za ngono kwenye foleni jijini Dar es Salaam

Mandown

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
1,665
503
Jana nilikuwa na jamaa zangu naheshimiana nao sana, tunaelekea Kibaha kupitia Morogoro road, kushoto kwangu alikaa mama mtu mzima, ndugu yangu.

Wakati tusubiria foleni iruhusu,wale wamachinga kama kawaida yao, huyu kaja na hiki mara kile.

Balaa lilikuja pale alipokuja muuza CD za filamu mbalimbali na miziki. Nilipo mkatalia, alinionyesha filamu ya ngono! huku akiigiza kuficha watu wasione, lakini yule manam aliiona, kwani niliona attitude yake imebadilika kabisa.

Story zilizokuwa zikiendelea ndani ya gari zilizimika.

Watu waliingiwa kichefu chefu kwa walichokiona.

MAMLAKA HUSIKA HEBU FANYIENI KAZI HILI
.
 
Kwa kweli huwa ni kichechefu sana,mie huwa nawauliza kama walihi kuwaonyesha mama zao.
 
Sio ubungo tuu, pita barabara ya airpot pale TAZARA utashangaa utakacholetewa dirishani mwa gari yako kama uko peke yako. Mimi nikiwa shahidi niliwahi letewa kwenye kioo cha gari yangu tena akaniambia eti ni ya kiswahili kacheza Ray C dah
 
Tusiwalaamu wao tu bali hata vyombo vya usalama kwani wanashinda nao hapo barabarani. Inatia kinyaa sana.
 
Mi waliniliza waliniambia ya wema sepetu kwenda kuicheki ni porn tu ya kawaida ya blacks nilijutajee
 
Biashara za kwenye mataa mabarabarani kwa ujumla wake ni hatari kwa usalalma na zinatakiwa zizuiliwe.
 
jana nilikuwa na jamaa zangu naheshimiana nao sana, tunaelekea kibaha kupitia morogoro road, kushoto kwangu alikaa mama mtu mzima, ndugu yangu. Wakati tusubiria foleni irushusu, wale wamachinga kama kawaida yao, huyu kaja na hiki mara kile. Balaa lilikuja pale alipo kuja muuza CD za filamu mbali mbali na miziki. nilipo mkatalia , alinionyesha filamu ya ngono! huku akiigiza kuficha watu wasione, lakini yule manam aliiona, kwani niliona attitude yake imebadilika kabisa, story zilizo kuwa zikiendelea ndani ya gari zili zimika!!! watu waliingiwa kichefu chefu kwa walicho kiona.
MAMLAKA HUSIKA HEBU FANYIENI KAZI HILI

Hivi kwani hii nchi Ina mamlaka inayo ongoza? Mie naona kilakitu kinafanyika kwa namna watu wanavyo taka na wakati wanaotaka kwa gharama wanayotaka
 
mbona ziko nyingi sana na siku hiz awafich zinamwagwa chini kila mtu anaona ni kawaida mkuu
 
Mi waliniliza waliniambia ya wema sepetu kwenda kuicheki ni porn tu ya kawaida ya blacks nilijutajee
mi najua watu wanazipenda ila wanataka wauziwe mafichon km bhangi.

Hiv kwan huyu dada nae kacheza hizo mambo?
 
jana nilikuwa na jamaa zangu naheshimiana nao sana, tunaelekea kibaha kupitia morogoro road, kushoto kwangu alikaa mama mtu mzima, ndugu yangu. Wakati tusubiria foleni irushusu, wale wamachinga kama kawaida yao, huyu kaja na hiki mara kile. Balaa lilikuja pale alipo kuja muuza CD za filamu mbali mbali na miziki. nilipo mkatalia , alinionyesha filamu ya ngono! huku akiigiza kuficha watu wasione, lakini yule manam aliiona, kwani niliona attitude yake imebadilika kabisa, story zilizo kuwa zikiendelea ndani ya gari zili zimika!!! watu waliingiwa kichefu chefu kwa walicho kiona.
MAMLAKA HUSIKA HEBU FANYIENI KAZI HILI

aiseee babaangu ningekuwa nyinyi ningegeuza nirudi nyumbani coz wanatia gundu safari
 
Ukiona ivyo wateja wa izo wako wengi ndo maana wanaziuza nje nje!
As long as wote ni watu wazima sizani kama kuna liloharibika bse wote mwisho wa siku mnafanya hayo matukio jamaa alitaka wakopesha ujuzi tuu
Kungelikuwa na mtoto apo ningemind but on a serious note hawa watu watafutiwe mahara pa kuuza ili mtu aende mwenyewe
 
Back
Top Bottom