Hamada Rashid hawezi kamwe kuwa mtaji wa vita kandamizi dhidi ya uislamu. Ila najua ni mkakati maalumu wa kuigawanya pemba ikose nguvu ya cuf na hapo ndio utakuwa ni mwisho wa nguvu ya CUf Pemba. Chama kipya cha Hamad kitakuwa na nguvu kubwa katika..... lakini bado ana fursa ya kuhamia chadema...
Slaa ana nafasi kubwa sana ukilinganisha mbowe na Zitto.
Mbowe hawezi kuchagulika, amefikia ukomo wa mafanikio.
Zitto angefaa lakini haaminiki hata kidogo na watanzania. Ana maswali mengi ya kujibu kama vile DOWANS, kushabikia udini, Manji, madini. Kwa kifupi Zitto ni political dealer...
Mazungumzo baina ya JK na CDM yamepangwa kufanyika wiki ijayo kati ya jumatano hadi Ijumaa. JK anaweza kuhahirisha ku-assent muswada huo baada ya kukutana na CDM, baadaye NCCR, CUF na CCM. Maazimio ya NEC kuhusu kukutana na vyama vyote umekubaliwa na JK. Tayari, Salva ameagizwa kutoa mwaliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.