Ripoti: Tanzania yaongoza kwa wanywa pombe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ripoti: Tanzania yaongoza kwa wanywa pombe

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mwita25, Nov 24, 2011.

 1. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kwa kuwa na idadi kubwa ya wanywa pombe za viwandani barani Afrika, ripoti imesema. Idadi ya walevi wa bia imeongezeka kwa asilimia 35 katika kipindi cha miaka 20 iliyopita wakati ile ya watumiaji wa pombe kali imepanda kwa kiwango cha asilimia 25. Nchi zinazoifuatia Tanzania ni Zambia, Afrika Kusini, Malawi na Nigeria.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  sifa nyingine ni kashfa na aibu kwa taifa
   
 3. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizo ndio Mr Ebbo ansema sifa za kijinga
   
 4. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Kwa mwendo huu wa kitimoto na pombe ni lazima tuongoze..!
   
 5. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kunywa pombe kwangu mie sio kashfa,ingekuwa Tanzania imeongoza kwa walevi hapo ningefedheheka sana!
   
 6. s

  sawabho JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Weka hiyo ripoti hapa. Tofautisha kati ya wanywaji na walevi, je Watanzania ni wanywaji au walevi kama ni wanywaji, haina shida. Ila kama ni walevi......Hiyo ni Noma.
   
 7. n

  nyantella JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45

  Harro Mwita hebu tufafanurie hapo kwenye rirangi jekundu, ni idadi ya wanywa bia au warevi wa bia? Harafu hiyo idadi ya wanywa bia kali ina include ire chang'aa ya kure nyumbani? harafu kwa kushika nafasi ya kwanza TZ imepata rikikombe au rimedali?
   
 8. bombah987

  bombah987 JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukipita salendar hapo kuna bonge la bango la beer ya ndovu basi wasituwekee hata mabango bac c
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  kwani pombe siku hizi imeondolewa kileo?
  Kama bado inakilevi ndani yake basi inanywewa na walevi
   
 10. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  na kama hujui according to TBL wilaya ya kinondoni ndo inaongoza ikifuatiwa na wilaya ya geita mwanza
   
 11. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Bila ku_include arusha,...basi takwimu za tbl ni uzushi na uongo kabisaaaa
   
 12. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa maana hiyo tunayo mkwanja wa ku spend!
  This is good.
   
 13. Mlendamboga

  Mlendamboga JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 60
  Huo utafiti unalenga kumnufaisha nani? achana nao hao, South africa ndiyo walevi ,bongo mnazijua pombe ama mnalamba tu!!!! labda walikuwa wanataka kuwahamasisha kutokana na kutouzika kwa bia kwenye soko la ndani
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nakunywa pombe and i am nit ashamed, ila nikiwa mlevi ntaskia aibu

  pamoja na hayo hii ni dalili ya frustrated society...
   
 15. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #15
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu

  amezungumzia za viwandani, sauzi wanapiga mataptap, kama kkenya na malawi na zimbabwe
   
 16. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #16
  Nov 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu tunaongoza kwa vutu viwili so far... pombe na ushirikina
   
 17. O

  Obinna Senior Member

  #17
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapato yatokanayo na unywaji huo unawanufaisha kina nani?
   
 18. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #18
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Safi. Muhimu kuweka rekodi, kwamba ni ya nini si muhimu
   
 19. s

  sakafu Member

  #19
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  source???
   
 20. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #20
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,754
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Hongera JK... tunajivunia na wewe.....
   
Loading...