mazda sports familiy inauzwa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mazda sports familiy inauzwa.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by sakafu, Jan 5, 2012.

 1. s

  sakafu Member

  #1
  Jan 5, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inahitajiwa...
   
 2. Mrbwire

  Mrbwire Senior Member

  #2
  Jan 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 197
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Sakafu si uweke picha? Au mpaka tuombe?
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  28th December 2011 17:14
  #1 [​IMG]
  [​IMG] JF Premium Member Array


  Join Date : 25th May 2009
  Location : UngaLTD!
  Posts : 14,646
  Rep Power : 5995  [​IMG] Pendekezo. . .

  Kwa kua mimi ni mmoja wa wadau wa hili jukwaa ningependa pendekeza kitu. Mpaka sasa hivi nimeona matangazo mengi yanayowekwa hapa hua hayajitoshelezi (details chache), yani kwa kusoma tu tangazo mara ya kwanza mtu anashindwa kuamua kama kinachotangazwa kinamfaa, bei anaiweza au atakipenda. Unakuta watu inabidi waulize maswali mengi sana baada ya original post.

  Kwanini tusirahisishiane kazi kwa kuweka details zote ambazo ni muhimu kuhusiana na bidhaa?
  . . . Picha - mtu ajue muonekano wa kinachotangazwa.
  . . . Specs - mtu ajue atakachopata kwenye hiyo bidhaa.
  . . .Bei - mtu ajue kama ana kiasi kinachohitajika.
  . . .Eneo - mtu ajue kama anaweza fuata hiyo bidhaa.
  N.k
  Mimi nimeboreka sana baada ya kufuatilia tangazo moja la nyumba hapa, baada ya kuchoma sana credit kupiga back and forth alafu siku kadhaa baadae nikaja kugundua kwamba hiyo nyumba haina uzio. Hapo nilishampa mwenye tangazo matumaini ya kupata mteja, mimi ya kupata nyumba nzuri wakati tulikua tunapotezeana muda na pesa bure.

  Ningependekeza kwanzia sasa watu wawe wanaweka maelezo yanayojitosheleza ili mtu atakapochukua hatua ya kukutafuta awe anafanya kuuliza kama bidhaa bado ipo na wapi muonane badala ya kuuliza maswali ambayo majibu yake anaweza kuyapata kirahisi kwenye tangazo lako. ​
   
Loading...