Recent content by saimile

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimeshtushwa na huu Utafiti

    Nimecheka sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kenya Abdallah Hassan, Katibu Mkuu wa kwanza Muislam Wizara ya Elimu, amefariki

    Historia za namna hii hazitakupa raha maisha yako yote! Kuna historia nzr na za kurithi siyo hizi!! Kila jema!
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume walio ndoani na "holiday ukweni"

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Siha, Godwin Aloyce Mollel(CHADEMA) ajivua wadhifa huo na kuhamia CCM

    Hivi uchaguzi wa m/kiti wa chama (CDM) ni lini?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini General Chiwenga Anacheka Na Mfungwa Wake?

    Hivi kule Liberia G.Weah alishinda?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Warembo Humanities UDOM mtanimalizia muwe na huruma na BOOM langu

    Hata ng'ox hakuna cha bure! Cha msingi acha tamaa, hawa watu wapo tu! Halaf na walimu wetu nao wanamuona! Sasa usijesababisha wewe ukaondoka kabla ya kilichokuleta ukamuacha huyo mamba wa mapenzi ambae tayari ameshasomewa mwenzio! Soma upate kazi kijana, wapo wazuri zaidi kama utakuwa kazini!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wilson Nkambaku anafuata baada ya Nyalandu kuondoka CCM!

    Hapo na.1.Umekosea, Nyalandu kamaliza kitambo sana, hat a hawakukutana pale ilboru!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

    Karibu Rombo
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

    Mshana Jr.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma Kigoma Sekondari Tukutane hapa..

    Yeah! Zitto alitimuliwa '94 Sent from my SM-G318H using JamiiForums mobile app
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma Kigoma Sekondari Tukutane hapa..

    Wewe jamaa nouma sana! Hivi kwanini ulifanya lile tukio la kumzika Kulandea?[emoji13] [emoji13] [emoji13] Sent from my SM-G318H using JamiiForums mobile app
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma Kigoma Sekondari Tukutane hapa..

    Nakumbuka '98 vijana wa day, wakiongozwa na Chegge huyu wa 'bongo flavour ' walimzika Mwl. Kulandea akiwa hai kule focal aisee! Chegge naye akili zake zinamtosha! RIP Kulandea. Sent from my SM-G318H using JamiiForums mobile app
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma Kigoma Sekondari Tukutane hapa..

    Ndo mimi ila jamaa yangu Hamad ndo alikuwa mpiga soka balaa Sent from my SM-G318H using JamiiForums mobile app
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma Kigoma Sekondari Tukutane hapa..

    Sikujua aisee! Thanks Sent from my SM-G318H using JamiiForums mobile app
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma Kigoma Sekondari Tukutane hapa..

    Long sana Mimi ni f6 ya kwanza '99 Sent from my SM-G318H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom