DMCT
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 2,276
- 5,943
- Thread starter
- #41
Zito kuna barua zake aliandika za maelezo... Pia Kakobe inasemekana alipigwa sunsper kwa kosa la kuiba samaki... Mbunge mstaafu wa kgm ujiji Mh. Kabulu.. Kapita pale piaAkina Zito Zuberi Kabwe na January Makamba nadhani walipita pita hapo