Recent content by saichy kinyurura

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia matikiti mnalijua hili?

    Strawberry
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

    Maana Yake Ni Live
  3. S

    JamiiForums Tanzania Diamond anamtumia vibaya Harmonize

    Hatujui Makubaliano Yao But Cyo Kitu Kibaya Mbona David Beckham Anafanya Sana Hayo Matangazo Ya Boxer Au Coz Inamuhusu Mond Ndio Shidaa Chaaa Wabongo Tunamatatizo Sana.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua madhara 12 ya kutokufanya mapenzi muda mrefu?

    Kati Ya Hizo No.9 Bado Cjaiyona.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Kama kuna mfanyabiashara aliyenichangia ktk Kampeni, na ajitokeze hadharani!

    Truckdriver Magufuli ni mbumbumbu angetuambia yy ametoa tshs mfukoni mwake kufanyia kampeni? Chama Kimemuambia ni wapi wametoa pesa za kampeni?
  6. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

    Le Mutuz utakua lini na sasa hivi umeshafikisha umri wa nusu Karne lkn bado tahira, Lowassa alikua Mwanasheria Mkuu wa Nchi? Na pia jibu lilikua fupi tu kwamba nilijiunga ccm juzi ama jana bac.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

    Jfk Wabongo, Monaban cyo Mshirika ni mfanyakazi wa Lowassa lkn hatapata chochote kwa Arusha Mjini na hiyo ccm yake, vurugu waliziandaa wenyewe ili kumchafulia Lema lkn HAISAIDII LEMA ndio chaguo letu tunamuhitaji mtu anapigania haki yetu bila uoga
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

    Sokon 1 huyo Monaban hadi Chadema tulipewa kadi za ccm ili tukampitishe kwenye kura za maoni na akafanikiwa so uxjidanganye eti ndio mtaji wake NOOOOOO.
  9. S

    JamiiForums Tanzania RPC Arusha, kwanini Lema hachukuliwi hatua?

    Km ni ndugu zako wanafanyiwa hivyo ungeyasema hayo? Ccm na viongozi wote wa usalama wamepanga hayo mauaji kwa upinzani. Km aliyeuwawa angekua ni mfuac wa ccm kauliwa na watu wa Chadema mpaka sasa wangekua wamekamatwa wauwaji wote na Chadema wangekua wanalaaniwa sana na viongozi na vyombo vya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nauza Mashine za kunyolea nzuri kwa saloon na matumizi binafsi

    Mbona hujaweka namba zako za cm?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Enyi watu wa Arusha mjini msifanye makosa, mchagueni Philemon Olais Mollel

    LEMA ndio habari ya R Chuga.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Masanja kapata kura 19 kati ya 1193 huko Ludewa, ameshauriwa awekeze kwenye Komedi

    😁😁 kanyooshwa
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kutoka Dodoma: Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge, Rais Kikwete ahutubia

    Nimeckiliza na kumuangalia kupitia tbc 1 ameonyesha wazi hacra zake juu ya upinzani lkn cc ndio wapiga kura na atambue tu hao wazee wao wengi amewatisha kwa kauli yake ya leo na hawataenda kupiga kura wameogopa umewatangazia mwenyewe kutakua na fujo.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka JWTZ kuhusu Jenerali Davis Mwamunyange

    Km yuko mzima anaweza kuongea huko aliko ili kuondoa hii cntofahamu.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa alikimbia nini Karatu?

    Kwani uwanja wa Kwaraa uko wapi ww taahira?
Back
Top Bottom