Mnaotumia matikiti mnalijua hili?

Sasa hayo matunda alochanganya na tikiti ni matunda gani?, ukiacha ndimu
hapa ukichanganya ndimu limao na tikiti unapata booster ya mwendokasi, ukiongezea na ukwaju unapata charger ya kobe, cha ajabu unakuta mtoto wa miaka miwili anachochewa uji wa limao then juice ya ukwaju halafu tikiti tayari booster lazima iende hewani.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom