Je, Wajua madhara 12 ya kutokufanya mapenzi muda mrefu?

Je, Wajua madhara 12 ya kutokufanya mapenzi muda mrefu?

mimi ninafanya mapenz lakin hiyo No 8 bado inanitokea , nipen suluhisho
 
Jibu rahisi hapa ni tutor mbaah-Ne kuepuka madhara,
 
6.kupenda kurukia rukia mambo yasiyokuhusu kama;

uzi huu unawahusu wale ambao hawajawahi kufanya mapenzi mda mrefu wewe umetoka kufanya mapenzi sio nmmda mrefu hiyo ni kurukia mambon yasio wahusu

"Mwanamke wa kichaga ni zaidi ya form six"
 
MADHARA 12 YA KUTOFANYA MAPENZI
KWA MUDA MREFU.

1. Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo.

2. Kupendelea sana kuangalia picha za uchi.

3. Kusahausahau.

4. Kupendelea story za mapenzi.

5. Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (mke).

6. Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatiliamambo yasiyokuhusu),

7. Kuumwa na kichwa,

8. Kukakamaa mgongo (wanaume)

9. Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,

10. Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency),

11. Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,

12. Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k.

(Kwa hisani ya wataalamu)

define 'mda mrefu' mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom