saichy kinyurura
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 112
- 26
Le Mutuz utakua lini na sasa hivi umeshafikisha umri wa nusu Karne lkn bado tahira, Lowassa alikua Mwanasheria Mkuu wa Nchi? Na pia jibu lilikua fupi tu kwamba nilijiunga ccm juzi ama jana bac.
Baba, mama na mtoto wote watakuwa wakigombea remoti ya TV kumwangalia Sugu akishusha nondo bungeni.Kula kulala upo? Mama kuanguka kule same.
Mimi ninachokijuwa kuhusu huyu zuzu ni classmate wa Mizengo Pinda.Usichokijua kuhusu mtoa mada ni kwamba
Ana umri mkubwa kuliko mama yake.....!!
Wewe utaendelea kuishi kwa upambe hadi lini? cha msingi siyo Chadema bali wananchi wameupata ukweli na huyo Dr Tuli ameaibika kwa kushindwa kujibu swali moja tu ambalo limejirudia mara mbili, Silinde kammaliza kabisa Tuli wako, ni aibu kubwa kwa ccm.
Na ndio ujijuwe wewe ccm ni kidampa tu zama za familia ya Malecela zimekwisha ndio maana pamoja na kujipendekeza kwako kote hata Udc waliohongwa hadi machangudoa wewe umetoswa, na wenzako kina Tuli wanazidi kupewa ulaji wanatolewa huku wanawekwa huku, wewe utaishia kuwa mkurugenzi wa blog tu. Loser.
We pumba sana aide! Kuweka vitu kichwani ndo kopimo utendaji kazi huko magamban hahahaaaa!CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.
Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.
Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.
CHADEMA wanamuogopa sana Dkt Tulia. Kitendo cha wao kumnyima nafasi kuongea ni ushahidi tosha kuwa wanamuogopa vibaya sana.
Maana Dkt Tulia naibu wetu wa spika anasema kwa vifungu...anasema kwa kutaja Ibara...bila kusoma mahali popote pale...mtu wa namna hiyo ni moto wa kuotea mbali! Jitu kama Lissu bila kuwa na katiba...haliwezi kutaja Ibara yoyote ile mpaka asome. Tofauti kabisa na Dr Tulia. Vitu vipo kichwani tu.
Asante Mungu kwa kutupa naibu spika msomi.
unapotosha umma! Dr Tulia alichukua gomu ya spika wa bunge akiwa kaimu mwanasheria mkuu wa serikali., na inatakiwa kwa nafasi aliyokuwa nayo asifungamane na itikadi ya chama chochote. Hiyo ndiyo ilikuwa hoja ya wapinzani. Ila ya lowassa na duni mbona hapo hamna uhusiano na hilo la dr tulia.
uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo na hii inasababishwa na muda mwingi kushinda kwenye mitandao ya kijamii na kuacha kusoma katiba ya nchi pamoja na vitabu vingi tofauti yofauti.
Nashindwa kuelewa hivi ukiwa mshabiki wa chama fulani kila wanachofanya wapinzani wako ni sumu?
Baba, mama na mtoto wote watakuwa wakigombea remoti ya TV kumwangalia Sugu akishusha nondo bungeni.
unapotosha umma! Dr Tulia alichukua gomu ya spika wa bunge akiwa kaimu mwanasheria mkuu wa serikali., na inatakiwa kwa nafasi aliyokuwa nayo asifungamane na itikadi ya chama chochote. Hiyo ndiyo ilikuwa hoja ya wapinzani. Ila ya lowassa na duni mbona hapo hamna uhusiano na hilo la dr tulia.
uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo na hii inasababishwa na muda mwingi kushinda kwenye mitandao ya kijamii na kuacha kusoma katiba ya nchi pamoja na vitabu vingi tofauti yofauti.
Nashindwa kuelewa hivi ukiwa mshabiki wa chama fulani kila wanachofanya wapinzani wako ni sumu?
Huyu ni mfano wa watu wa jimbo la mtera.kwa nini lusibde asiwe mbunge wao wa kudumu.poleni wagogo
‪- Lowassa‬ aliingia Chadema saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# Chadema.....
,Babu ‪#‎Duni‬ aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia Chadema Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza,
- Leo Chadema wanamuuliza Dr ‪#‎Tulia‬ Bungeni alijiunga CCM lini? haya ni maajabu ya Musa!!,
KUMBE MZEE MKAPA ANA AKILI SANA, ALISHAWAJUA SIKU NYINGI SANA!!
Le Mutuz Nation