Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

jipen moyo... yan unachekesha baada ya tarehe 12 utaonekana kituko.
 
Kwani kura zinapigwa na madiwani?

kwani kura zinapigwa na magufuli. ebu muulize Monabani kura za maoni ccm alishinda kwa kura ngapi na umuulize Monabani akichukura kura zote za ccm zilizopigwa za maoni za ccm jimbo la arusha zinafika ngapi alafu huo ndio mtaji wake kisha jumlisha kura za uraisi za chadema na udiwani kata 25 izo ndizo mtaji wa Lema.
 
Mbona unaamini maneno ya mtaani? Kwa kuangalia idadi ya wabunge wa CCM, utagundua kuwa ushindi wa Pombe ni halali kabisa.
Madiwani wa cdm Arusha walisafiria nyota ya lowasa, ambayo sasa imeshazima tayari.

You are contradicting yourself,

Ushindi wa Magufuli ni dhahiri kwa sababu amepata wabunge wengi.

Ila Lema ambaye chama chake kimepata madiwani 24 kati 25 unasema atashindwa.
 
Hizo porojo za kijiweni? Toa hoja kwa nini lema apate ubunge tena?

Kwababu anatufaaa natunamuhitaji nani mbunge anayejitambua tz nzima ww mbunge mwenye msimamo ni lema na anapendwa na wana arusha yaani magamba hapa yatawatoka kama ya samaki hamtoki xxm yaani maye be kwa filikunjombe lkn huku ageni mapema hata yule diwani mmoja mnajua mliiba kura hata mwage sumu yaani atubadiliki hilo mtambue.
 
You are contradicting yourself,

Ushindi wa Magufuli ni dhahiri kwa sababu amepata wabunge wengi.

Ila Lema ambaye chama chake kimepata madiwani 24 kati 25 unasema atashindwa.

Tar 25 Oct wapiga kura wa ARUSHA waliamini lowasa atashinda hivyo wakampa pia madiwani. Sasa hali ni tofauti, Lema or Monaban stands on his merit, ila monaban ana advantage ya kubebwa na lowasa(mshirika) na kazi aliyoanza nayo Magufuli. Sijui umeelewa?
 
Kama Magufuli alipata kura hizo kwa nguvu ya Monaban, je monaban mwenyewe atapata ngapi?
Kwa hiyo nguvu ya monaban,maguduli+ ndiyo imezaa kura 60,000 dhidi ya mwenzie aliyepata 150,000?? Na bado unaamini kuwa ni mwendo mzuri?
 
Kama Moshi Mjini,paliwashinda,pamoja na pesa mlizomwaga,sembuse A town, unanitia hasira tu, mi namlilia Kamanda Mawazo now!
 
CCM Arusha kurudi madarakani labda uzazi usimame maana kizazi kilichopo kimejua ukweli wa ccm kwa hapa Arusha.
 
Sawa sawa, Arusha mjini, CCM imepata madiwani 24, Hongereni CCM jimbo mtalichukua saa mbili asubuhi! Anzeni kufanya karamu!

Msumari wa moto kweli yaani comments zako nyingine unakuwaga na mauchungu sana chalii yangu ya r.
 
Sokon 1 huyo Monaban hadi Chadema tulipewa kadi za ccm ili tukampitishe kwenye kura za maoni na akafanikiwa so uxjidanganye eti ndio mtaji wake NOOOOOO.
 
Jfk Wabongo, Monaban cyo Mshirika ni mfanyakazi wa Lowassa lkn hatapata chochote kwa Arusha Mjini na hiyo ccm yake, vurugu waliziandaa wenyewe ili kumchafulia Lema lkn HAISAIDII LEMA ndio chaguo letu tunamuhitaji mtu anapigania haki yetu bila uoga
 
Lema ajiandae kwenda kuchukua nafasi ya Alfonce Mawazo kule Geita.
 
Mmeanza mahesabu yn ya wizi eeeh, kura za lema hazitaibiwa km mnatakusikia harufu ya damu mtiririko kura za lema ziibiwe muone.
 
Jidanganye tu Arusha tunajielewa !!
Yani tulishaapa hata tuweke Jiwe Vs Ccm tutachagua Jiwe na litashinda!!

Hahaha hapa Kura hamuibi hata 1!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom