RPC Arusha, kwanini Lema hachukuliwi hatua?

Natoa ushauri kwa IGP kuangalia hatari kubwa inayoweza kutokea jijini arusha. viongozi kumtukana RPC kisha wasiitwe kuhojiwa ni dharau kwa jeshi la polisi. mm kama RAIA sikubaliani na utendaji wa RPC arusha kwa kuendelea kuwapa jeuri ya kuropoka badala kukabiliwa na mkono wa sheria.
RPC kwa nn lema hajaitwa polisi kwa hatua?

cc RPC arusha
cc IGP Ernest Mangu

Kila msema kweli ndn y taifa hili apaswa kuhojiwa na polisi au kuuwawa? Lema kakosa nini? Kakosea police? Acha uchochez
 
Km ni ndugu zako wanafanyiwa hivyo ungeyasema hayo?

Ccm na viongozi wote wa usalama wamepanga hayo mauaji kwa upinzani.

Km aliyeuwawa angekua ni mfuac wa ccm kauliwa na watu wa Chadema mpaka sasa wangekua wamekamatwa wauwaji wote na Chadema wangekua wanalaaniwa sana na viongozi na vyombo vya usalama kuwa ni watu wa fujo.

Ngoja Redbriged nao wataanza kazi tuone mwisho utakua ni nn.
 
MKUTANO ARUSHA MH.LEMA.

Lema:
Ndugu zangu mawazo ameuawa, na anayefuata ni wewe ni mimi.
Mawazo ameuawa na green guard kwa sababu polisi wanawaogopa green guard.
Wiki moja iliyopita, rpc wa Arusha aliagiza kwenye kikao mimi kuvunjwa miguu

Lema,
Anameita mke wake, anamwambia akisikia amekufa, atafute ada kwa wananchi.
Leo Mawazo amemwacha mke na mtoto mdogo, ameuawa kwa mapanga wakati siyo mwizi. Wamemwua Mawazo na watawaua na wengine kwasababu dola inawaogopa green guard

Mawazo alikuwa anatoka kwenye kampeni, gree guard wakamvamia wakampiga mapanga akapelekwa hospitali amefariki dunia.
Mimi rpc alitaka kuniua Arusha

Green guard wanawapiga watu wetu polisi hawachukui hatua

Anazungumza Mh Lema, mbunge wa Arusha mjini

Lema:
Mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo tulipeleka mashtaka ya kutosha lkn cha kushangaza hakuna hata kesi moja iliyoenda polisi.
Sikilizeni Arusha, huu ni wakati wa kutetea maisha yetu..

Lema,
Wanaopanga uovu ni serikali mkuu wa mkoa mkuu wa polisi

Lema:
Rpc ukinikamata niue kabisa, ukiniacha hai nitabadilisha nchi hii

Lema,
Nyie polisi wake zenu mama zenu watoto wenu hawaishi vituoni, mnatutisha na magari barabarani na silaha barabarani, umma huu ukichoka hamtaweza kuishi mitaani

huu ni ushahidi tosha RPC chukua hatua.

Hakuna tatizo hapo,huo ni ukweli mtupu.
 
Tusi hapo liko wapi. Au ulikuwa unataka kuandika tu. Yaelekea unalipenda sana jina la lema
 
Natoa ushauri kwa IGP kuangalia hatari kubwa inayoweza kutokea jijini arusha. viongozi kumtukana RPC kisha wasiitwe kuhojiwa ni dharau kwa jeshi la polisi. mm kama RAIA sikubaliani na utendaji wa RPC arusha kwa kuendelea kuwapa jeuri ya kuropoka badala kukabiliwa na mkono wa sheria.
RPC kwa nn lema hajaitwa polisi kwa hatua?

cc RPC arusha
cc IGP Ernest Mangu

umeandiika ukiwa na mihemko haoni kuuawa kwa kiongozi wa kisiasa ni hatarishi kwa amani ya nchi tena wa mkoa ana wafuasi waumini wa itikadi . Kikundi hiki green guard aina ya mungikikimekiuka haki za binadamu kuwa kila mtu anayo haki ya kushi ia kikundi hik i uwepo wake ni hatarishi .usimamizi wake na matumizi yake ni mbovu polisi au taasisi za vyombo vya usalama badala ya kuangalia maoni ya lema wakazie macho kikundi hiki kwani kinachukua sura ya kikundi cha mungiki ,green guard itokomezwa mapema ,nakala kamati za ulinzi na usalama,RPC . mkuu wa jeshi la polisi e,mangu
 
Binafsi nilikwepo pale kwenye Mkutano jana. Lema ni mchochezi ukisiliza anavyozungumzia polisi utaelewa. Mwenyewe nashangaa kwani nini RPC asichukue hatua. Kwa kauli ya jana ni wazi Lema akidhurika wafuasi wake wameshaaminishwa ni "kazi" ya RPC. Mbaya zaidi anasema kikimtokea chochote akibaki hai, atabadilisha history ya nchi hii.
 
Pale unapotumia jeshi la Polisi kunufaika kisiasa. wakigundua wana kupotezea ili usimame kwa miguu yako. Lema yuko kazini, yote ni kutafta kura.
 
mmemuua kamanda MAWAZO bado haitoshi mnaona na LEMA afungwe!

shame on you CCM hii nchi sio ya kwenu
 
CCM mnataka watu wote tuwe kama masanamu tukae kimya tusikemee mauaji mnayoyaasisi.
Enyi wanaccm ni kipi mnachokiogopa kuliko vyote tukitumie kupambana na nyie wenye jeuri kwakuwa mna dola?
 
Kwani kuna ushahidi WA green guard kuhusika?? Kwa maana mambo mengine tusiseme TU.
 
Kumbe mda wote ndo ulichokuwa unakitaka kazi ipo wazee wa kulia lia kazi mnayo
 
MKUTANO ARUSHA MH.LEMA.

Lema:
Ndugu zangu mawazo ameuawa, na anayefuata ni wewe ni mimi.
Mawazo ameuawa na green guard kwa sababu polisi wanawaogopa green guard.
Wiki moja iliyopita, rpc wa Arusha aliagiza kwenye kikao mimi kuvunjwa miguu

Lema,
Anameita mke wake, anamwambia akisikia amekufa, atafute ada kwa wananchi.
Leo Mawazo amemwacha mke na mtoto mdogo, ameuawa kwa mapanga wakati siyo mwizi. Wamemwua Mawazo na watawaua na wengine kwasababu dola inawaogopa green guard

Mawazo alikuwa anatoka kwenye kampeni, gree guard wakamvamia wakampiga mapanga akapelekwa hospitali amefariki dunia.
Mimi rpc alitaka kuniua Arusha

Green guard wanawapiga watu wetu polisi hawachukui hatua

Anazungumza Mh Lema, mbunge wa Arusha mjini

Lema:
Mwaka jana kwenye uchaguzi mdogo tulipeleka mashtaka ya kutosha lkn cha kushangaza hakuna hata kesi moja iliyoenda polisi.
Sikilizeni Arusha, huu ni wakati wa kutetea maisha yetu..

Lema,
Wanaopanga uovu ni serikali mkuu wa mkoa mkuu wa polisi

Lema:
Rpc ukinikamata niue kabisa, ukiniacha hai nitabadilisha nchi hii

Lema,
Nyie polisi wake zenu mama zenu watoto wenu hawaishi vituoni, mnatutisha na magari barabarani na silaha barabarani, umma huu ukichoka hamtaweza kuishi mitaani

huu ni ushahidi tosha RPC chukua hatua.

Mbwa koko
 
Hivi mleta mada umepitia post zote humu ndani??

Jaribu kuangalia ni wangap wamefurahishwa na ulichoandika alaf ujitafakari
 
ulikuepo Jana kwenye mkutano au unaropoka tu. ungejua nnavosema lema mchochez ungeelewa nazungumzia nn
 
Natoa ushauri kwa IGP kuangalia hatari kubwa inayoweza kutokea jijini arusha. viongozi kumtukana RPC kisha wasiitwe kuhojiwa ni dharau kwa jeshi la polisi. mm kama RAIA sikubaliani na utendaji wa RPC arusha kwa kuendelea kuwapa jeuri ya kuropoka badala kukabiliwa na mkono wa sheria.
RPC kwa nn lema hajaitwa polisi kwa hatua?

cc RPC arusha
cc IGP Ernest Mangu
Kama kweli wewe unayachukia matusi toka ndani ya moyo wako tunakuomba umwombe IGP amkamate kwanza yule jamaa aliyawaita watu wote wanaoshabikia vyama vya siasa vya upinzani hapa nchini kuwa ni WAPUMBAVU na MALOFA wakubwa!
 
Back
Top Bottom