Recent content by Sadikii herbalist

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama hutojali, tupe siri yako ya kupata usingizi haraka usaidie wenye tatizo hili

    Wakati wa mlo wa usiku unywe na maziwa fresh yaani usingizi wa ghafla utakuja na utalala fofofo usiku mzima.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wezi wenye 'leseni ya kukuibia' Kariakoo

    Shida elimu haitolewi na mamlaka mbalimbali juu ya maswala yanayozihusu na namna ya kuanzia pale shida inapotokea.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, pesa ina mashetani

    Kusema ukweli M/Mungu kukataza riba kupitia vitabu vya vyake hakukosea. Maana mikopo ya riba huwa na laana na iwapo utachukua basi ni mabalaa juu ya mabalaa yatakuandama. Mwandishi huo uzi wako kuna wengine watapinga lakini mimi nawaambia wajaribu waone na wajiandae kuchanganyikiwa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Matibabu ya hiatal hernia na acid reflux

    Pole Sana. Acid reflux hutibiwa kwa masharti ya mlo. Jaribu pia kupima ili kujua Kama acid reflux imeshaleta vidonda vya tumbo. Maana ninayo dawa ya kutibu moja kwa moja Ulcers.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Pole Sana. Karibu upate tiba ya moja kwa moja na utathibitisha kwenye vipimo. Pia mie si Masai.
  6. S

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Karibu upate tiba ya moja kwa moja.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo la tumbo kujaa

    Ni miongoni mwa dalili za vidonda vya tumbo. Nenda kapime ukiwa navyo nakukaribisha uje upate tiba ya moja kwa moja. Tafuna tangawizi kupunguza gesi na kuweka Sawa mfumo wa usagaji ila Kama utakuwa na vidonda kila siku utakuwa mtu wa hivyo hivyo hadi uviponyeshe kwanza.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wapenzi wa Wine tu!

    Mie nipo Mkoa wa Kagera, Wilaya ya Biharamulo.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ni Corona ipi serikali ya Tanzania inapambana nayo? Wapi? Kwa kina nani?

    Pole Sana. Karibu upate tiba ya moja kwa moja na utathibitisha kwenye vipimo.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kitabibu katika tatizo hili la fangasi mdomoni

    Pima Ulcers na ukikutwa nayo nitafute hutojutia.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimeachwa mwenzenu

    Mola akuwekee wepesi na subra. Karibu upate dawa ya kutibu moja kwa moja ulcers.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Pole Sana kaka. Ninayo dawa ya kutibu moja kwa moja na utathibitisha kwenye vipimo pia utatupa mrejesho humu.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

    Pole Sana. Kama bado hujapona nitafute upate dawa ya kutibu moja kwa moja hilo tatizo na utathibitisha kwenye vipimo.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wapenzi wa Wine tu!

    Pole Sana. Karibu upate tiba ya moja kwa moja na utathibitisha kwenye vipimo.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Selfika na JF: Snap it. Show it

    Pole Sana Dada. Utapona, unanikumbusha mbali Sana. Nilipokuwa shule nilikuwa na Ulcers tabu yake si mchezo na nilikuwa nabagua vyakula yaani ilifikia kipindi nikila ugali hata wali nasikilizia mziki na shuleni walikuwa wananiita mtoto wa mama kisa nabagua vyakula. Lakini leo hii nami...
Back
Top Bottom