Hahahaha....tafuta "punane" moja bas hudumia hiyo tu!
Utakufa maskini...! Shauri zakoPunane moja haitoshi...lazima kubadilisha ladha bwana maana wanawake watamu bwana
Utakufa maskini...! Shauri zako
As long as una afya njema wee sio maskini. Kwanza kugegeda kunaporesha afya.
Ebu tufahamishe vzr kuhusu siri hiyo.Kila kitu ambacho mwanadamu ameweka moyo wake kinashambuliwa sana na ulimwengu wa roho. Shetani anataka akudhibiti kwa kutumia kitu hicho. Ukitaka kuwa na udhibiti wa fedha na mali yakupasa kuwa na uwezo wa kudhibiti ulimwengu wa giza ambao ndio huiba kutoka kwa mwanadamu. Ukiweza hivyo basi fedha na mali vinageuka kuwa baraka na utavitumikisha na sio kuvitumikia. Ukijua siri hii utafurahia sana maisha.
Ni kinyume chake, pesa inapaswa ikuheshimu vinginevyo utasumbuliwa sana na pesa. Hapo ndipo watu wanapokosea.Why by default pesa isiheshimiwe wakati ndo kitu kinatafutwa na watu daily?
na mimi nimemshangaaHakuna kitu kama hicho, ni imani yako tu...mbona hujaelezea wale wanaochukua mikopo na kuinvest na kutajirika?
Wewe umeongelea tu kwa upande wa wanaoshindwa, kuna wengi wanatumia pesa vizuri na kufanikiwa.
Darubini kali huona mbali zaidiPesa siyo mashetani bali mkopo ulioambatana na riba ndo mashetani yenyewe
Kusema ukweli M/Mungu kukataza riba kupitia vitabu vyaWakuu mmewahi jiuliza mbona mara nyingi tukishika pesa -baada ya muda mfupi majuto yanakua mengi?
Bila shaka pesa ina mashetani.
Ebu fikiria- unachukua mkopo unanunua gari , miezi 3 mingi gari inapinduka na kubaki screper, then unasota kurejesha mkopo kwa miaka 5 uku machungu ukiyasikilizia na familia yako nzima.
Ebu fikiria-unachukua mkopo unafanyia harusi- baada ya 6/12 unasikia wife kakucheat na msela wako, unaamua kumpiga chini na utatembea na stress za maisha
Ebu fikiria- unachukua mkopo unaiingiza pesa kwenye bahashara zako. Baada ya muda si mrefu business partner wako anatoroka na pesa yako yote . Yaan unalala na mtaji wa 15M unaamka na deni la 23M utakalolipa bank kwa muda mrefu. Hapo ukichaa usipokupata utaniambia!
Ebu fikiria- unajichanga unapeleka mtoto shule, akimaliza mhula wa kwanza anatiwa mimba na muuza chips afu anajikataa na kusepa. Kinachofuata Kama mzazi au mlezi unahudumia ujauzito, na pia unakuja kulea mjukuu.
List ni ndefu, nachotaka ukione ni kuwa inakuaje mtu akipata pesa kitakachofuata ni majuto na stress ???
Karibuni wakuu tuchangie mada kwa hoja!!! Pia unaruhusiwa Kuendeleza list ya matukio
Umenena vemaPesa siyo mashetani bali mkopo ulioambatana na riba ndo mashetani yenyewe