Naomba msaada wa kitabibu katika tatizo hili la fangasi mdomoni

Sergio Jr

Member
Nov 22, 2019
9
11
Mimi ni kijana mdogo tu 20s naishi mpanda nimepata tatizo.

la fungus sugu mdomoni zinazo sababisha ngozi ya lips kukauka na kubanduka kwa takribani miaka 5 sasa nikienda kwa madaktari wanasema tatizo ni dogo sana hata specialist wa ngozi alinipa Vaseline tu kila aina ya dawa nimetumia matokeo ni 0.

Nilizani inaweza kuwa kansa lakini madaktari wote wamekataa katakata, sina kabisa HIV history sina kisukari ila Nina history ya ulcers na yenyewe ilikuja baada ya ili tatizo .tatizo lilianza kama kukauka mdomo tu ,lakini ni kitu nilichokuwa nakipata tangu ni mdogo ila wakati huo lilikuwa too much.

NAOMBENI MSAADA WENU WATALAM NIKIPONA KWA MSAADA WENU MTAKUWA MMENIOKOA
 
Mkuu n hiyo ulcers hamna jipya fanya kuepuka vyakula chachu na ule vtu km parachichi unywe maji ya kutosha marakw mara pumnzka vzr
 
Pole, jaribu kuonana na specialist wa ngozi yaani MD Dermatologist au Phycisian ambaye atafanya uchunguzi A, B, C ........ na kujua kama ni fungus basi atajua nia aina gani na inatibika kwa dawa ipi na kama ni upungufu wa madini nayo watajua kuliko kuanza kwenda kwa hao wapiga ramli
 
Back
Top Bottom