Naomba msaada wa tatizo la tumbo kujaa

gilberto de rico

Senior Member
Feb 7, 2019
165
120
Mimi nina tatizo la tumbo kujaa nahisi digestion haifanyiki vizuri hivyo kuna uchafu umejaa kwenye utumbo mkubwa yaani nimepata kitambi cha madonda ya tumbo.

Mara ya kwanza kabla ya kupata ulcers tumbo lilikuwa dogo sana ila baada ya kuugua hadi sasa tumbo limekua kubwa saana naomba mwenye kujua dawa nayoweza tumia ili niharishe uo uchafu wote anijuze please.
 
Mimi nina tatizo la tumbo kujaa nahisi digestion haifanyiki vizuri hivyo kuna uchafu umejaa kwenye utumbo mkubwa yaani nimepata kitambi cha madonda ya gumbo Mara ya kwanza kabla ya kupata ulcers tumbo lilikuwa dogo sana ila baada ya kuugua hadi sasa tumbo limekua kubwa saana naomba mwenye kujua dawa nayoweza tumia ili niharishe uo uchafu wote anijuze please
Ni miongoni mwa dalili za vidonda vya tumbo. Nenda kapime ukiwa navyo nakukaribisha uje upate tiba ya moja kwa moja. Tafuna tangawizi kupunguza gesi na kuweka Sawa mfumo wa usagaji ila Kama utakuwa na vidonda kila siku utakuwa mtu wa hivyo hivyo hadi uviponyeshe kwanza.
 
ndugu tangawizi inasaidia sana enh? ni namna gani kuitumia aise?
 
Back
Top Bottom