Recent content by saadam

  1. S

    JamiiForums Tanzania Muungano wetu ni imara na atakaechezea nchi hii atakiona cha mtema kuni"...

    Huu ni muungano imara wa kuwanyonya wanzibar tu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika awatelekeza wananchi wa Ubungo

    Wapeni. Chama cha kaffu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kagasheki: TRA wanahusika biashara ya meno ya tembo

    Nchi nzuri haina viongozi ccm chukua chako mapema hiyo ndiyo hali halisi mtu yoyote kama una mchongo wako kula tu n ww km hali inaruhusu
  4. S

    JamiiForums Tanzania Hemed PhD: Mimi siringi, hizi ni swaga tu

    Hii mada bado tu ya joka la kibisa ifuteni tena kuna mambo muhimu ya kuwongea mengine
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kunifanyia massage

    Kama hajapata muhudumu usijali nishaongea na maumba atakutafuta fundi mzuri sana kwa kazi yako
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume

    Du kweli kadoda mpaka kaona ajitanganze
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mfalme wa Oman na uwindaji nisioulewa Loliondo

    Kijana kwa hakika sultan kabus hana mke wala mtoto huyo labda mtoto wa mfalme wa nchi nyengine
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Pole sana nenda ukapime choo ki kubwa na kidogo pamoja na alenji
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kunifanyia massage

    Hamna kitu huyo anawachea akili zenu kipo kitu anatafuta majengo kibao yapo kwa shuhuli hiyo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

    Mwacheni dogo apete na mzee wake hata ungekuwa wewe kiyongonzi ungejinufaisha wewe kwanza aliye pewa kapewa tu hao wote waliyopita pia nao wako vizuri
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nawashwa sehemu ya haja kubwa

    Kula pia na dawa za minyoo na kuhusu choo kula papai
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sababu ya wanawake kuzuiwa kuendesha magari Saud Arabia

    Soma Qur-an mkuu ipo ilotafsiriwa kwa kiswahili sio kutafuta website ambazo zimeandaliwa kwa makusud kuichafua dini ya Uislam. Kwan hatutafikia lengo la kupata elimu.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Fathima Godabar; Mwanamke anayeongoza kwa uzuri duniani

    Yupo wapi wadau huyu binti nataka kwenda kumposea mwanangu
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani nisaidieni nimuoeje huyu dada wa kiislamu

    Kama usemayo ni ya kweli achana nae mwisho wa siku ni matatizo tu yatakuwa raha ya mke mariziyano familiya zote mbili
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji mume mwema jamani

    Je awe dini gani huyo mume au dini siyo lazima ata ukipata mpagani sawa
Back
Top Bottom