Mnyika awatelekeza wananchi wa Ubungo

Mnyika awatelekeza wananchi wa Ubungo

Hakuna sababu ya kumdhihaki huyu mnyika kwani 215 mbali? Asubiri aone habari yake hakuna rangi yake tena itaonekana ubungo jasho na kokote alipo habari hizi kama hana zimfikie kwamba UBUNGO HATOCHAGULIWA TENA SI YEYE WALA MAREHEMU CHAMA CHAKE.

Acha kutisha wananchi nasema hivii hata kama sio Mnyika tutahakikisha jimbo la ubungo upinzani wanachukua sio nyie ma ccm.
 
kumbe CHADEMA walikuwa na katibu boya kiasi hiki! anaamini mbunge ni mfadhili ! Mh.mnyika ni miongoni mwa wabunge makini
 
Kama wewe ulikuwa hukohuko chadema ulishindwa kumshauri boss wako na ulikuwa na nafasi hiyo huku nje ndo utaweza? Acha unafiki wako haya huko ulikohamia mkipewa jimbo mtatekeleza kama huko Chadema ulishindwa.
 
Hakuna sababu ya kumdhihaki huyu mnyika kwani 215 mbali? Asubiri aone habari yake hakuna rangi yake tena itaonekana ubungo jasho na kokote alipo habari hizi kama hana zimfikie kwamba UBUNGO HATOCHAGULIWA TENA SI YEYE WALA MAREHEMU CHAMA CHAKE.

Wananchi wa ubungo kama ni mbunge walipata maana anawakilisha jimbo lake na nchi nzima.swala la Maji siyo la mnyike nendeni wizara ya Prof.Magembe ndo mwenye Maji Mnyika ni kuhoji tu.
 
JOHN MNYIKA amewatelekeza wakazi wa Ubungo kwa kile alichowaahidi A M U A.

(A) Akili na ajira - Hajatoa wala kusababisha ajira kwa kijana yoyote wala mwanamke yoyote ktk jimbo la ubungo.

(M) Maji na miundombinu - Kila mtaa kwa jimbo zima kuna malalamiko ya maji hakuna chochote.

(U) Usalama na uwajibikaji - Yeye mwenyewe ameshindwa kuwajibika hapatikani jimboni wala ofisini kwake na hata simu hapokei.

(A) Aridhi na afya - Hajawahi kutembelea hata kituo chochote cha afya.

Hivyo nimeamua kufanya mikutano ya hadhara kuwambia wananchi wa jimbo la Ubungo udhaifu huu.Pia nitatoa namba zake za simu kwa wananchi wamtumie sms kumtaka atimize ahadi.

Ally makwilo, niliyekuwa katbu wa CHADEMA jimbo la Ubungo.

Aaaha bana, huoni anakabidhiwa mkasi na Kikwete akate utepe wa Hospitali Chuo kipya:

Jisajili BURE na huduma ya Tigo Kilimo!Piga *148*14# chagua NAMBA 1 kisha fuata maelekezo. Na anza kupata ushauri wa kilimo cha MAHINDI,BANGI, MPUNGA,MIHOGO n.k BURE!
 
Hakuna sababu ya kumdhihaki huyu mnyika kwani 215 mbali? Asubiri aone habari yake hakuna rangi yake tena itaonekana ubungo jasho na kokote alipo habari hizi kama hana zimfikie kwamba UBUNGO HATOCHAGULIWA TENA SI YEYE WALA MAREHEMU CHAMA CHAKE.

Alidhani akimwita rais dhaif basi maji yatatiririka kwenye mabomba jimboni...sasa ndio tutaona nani ni nani hiyo 2015. Tena nna hasira nae!..sijui kwanini nlipigia kura!
 
Endelea kujitekenya huku ukicheka mwenyewe huo mziki cd 8 ulioandaliwa kumbuka ccm hawakuweka mgombea wa maana ndio huyo mnyika wako akaonekana anaafadhali subiri tu omba uhai majibu utayapata hapahapa.
Acha kutisha wananchi nasema hivii hata kama sio Mnyika tutahakikisha jimbo la ubungo upinzani wanachukua sio nyie ma ccm.
 
Usijutie kura yako mkuu muda eake umeshapita twendeni tukapige tena kunyofoa huu uj.inga uliopo ubungo.yamekaa kujadili chama tu na kufukuzana bila mpango lkn maendeleo ya majimbo wameachia wananchi wenyewe pu.m.b.vu.
Alidhani akimwita rais dhaif basi maji yatatiririka kwenye mabomba jimboni...sasa ndio tutaona nani ni nani hiyo 2015. Tena nna hasira nae!..sijui kwanini nlipigia kura!
 
Back
Top Bottom