Recent content by S.MC

  1. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo Geita karbu na mwanza mie nije dom
  2. S

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo Geita aende mwanza, kibaha au bagamoyo idara secondary
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Matombo - Morogoro, Kumalija - Maswa Simiyu,Nyegezi - Mwanza, Unyambwa - Singida, Kineng'ene - Lindi,
  4. S

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Ndevu si mzigo, Usipokubali kuliwa kidogo huli, Utachoma sana mahindi, huu moto wa chuma hubebi kwa kiganja
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Its impossible kwa siku kulipwa hicho kiwango may be uwe na kazi ya kuuza ndege na kwa siku ziwe zinatoka kuanzia tano na kuendelea
  6. S

    JamiiForums Tanzania Searching for a full/ part-time teaching position

    We were looking 4 an experienced teacher who can teach Math's and English, as per primary curriculum,
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soma hapa kabla hujaenda kwa MACHANGUDOA

    Daud Mwinge umetisha ile mbaya ha ha ha haaaaaaa!!!!
  8. S

    JamiiForums Tanzania AJALI: Basi la kampuni ya Jordan lapata ajali na kuua

    Najuta kuwa MTanzania! Je, hii ndio nchi yenye amani? Miundo mbinu mibovu, barabara nyingi za tangy ukoloni ndizo zinazotumika mpaka Leo, hatujui kuna ongezeko kubwa la watu? Hatuna maeneo ya hifadhi za barabara, barabara nyingi hat a zinazounga mikoa ni nyembamba sana, ukiachana name hizo hata...
  9. S

    JamiiForums Tanzania CCM, msimlaumu Lowassa bali Kikwete ndio alaumiwe kwa kauli yake

    Loading.,,,,,,,...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kisukuma

    1. Maguduja Lwenge 2. Sita Sahani Susu 3. Masanja Pius Madukani 3. Nkinda Madama 5.Busuke Makonda 6. Ng'henagula Ng'hwagi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Habari zenu wana Jf

    Mgen kaja mwenyej apone kwa mawazo yakinifu!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tumempoteza mpendwa wetu

    Hiyo ni tafsiri sahihi kabisa., kwani lengo hasa la kutumia maneno kama tumepoteza., ameaga dunia., hatunae tena.,, lengo hasa hapa ni kupunguza ukali wa maneno (tafsida) na kuonesha ushirikiano kwa lengo la kumfariji mfiwa ama kufarijiana
  13. S

    JamiiForums Tanzania Asili ya maneno 'Shikamoo' na 'Marahaba' ni utumwa, kwanini tunaendelea kuyatumia?

    Maana ya Asalaam Aleykum maana yake ni aman iwe juu yako
Back
Top Bottom