Nafasi za kazi

Nafasi za kazi

Its impossible kwa siku kulipwa hicho kiwango may be uwe na kazi ya kuuza ndege na kwa siku ziwe zinatoka kuanzia tano na kuendelea
 
Wanaotoa matangazo hayo ni matapeli tu maana toka waanze kuyatoa now ni miaka mitatu sasa. wapo magomeni mapipa nyuma ya bank ya DTB(Diamond Trust Bank)
 
hao watu wapo na ni makampuni ya kuuza mabeseni na dawa za meno..ukienda utabebeshwa mabeseni majagi na majaba utembeze mtaa kwa mtaa hawajali una elimu gani.....ahahahaaaaaaaa....ajira ajira....usisahau kwenda na mamranga ya kimasai maana kiatu kitaisha kwa kupuyanga.....

kweli kabisa..
 
Back
Top Bottom