Ulaniwe Jasmine, huyu mbwa miaka mi2 kanichomesha maindi ahadi nyingi na matumaini yeye ni bikra tumalize shule kwanza nipewe,, Kumaliza tu kaolewa na bwana mwingine saivi kaachika analia turudiane bora niwe na mbuzi cio wewe kafiri mjalaana ulaniwe
Hakuna mtu wakukupa pesa za bure guys fanyeni kazi msitegemee miujiza msiwasahau wale mapadre wa kinondoni waliodesa na pesa za watu,,we mtu akupe 99usd hiv hv tu ni baba yako yeye...?
Mkuu mambo VP hivi hii washing machine kama hii ninaweza kuitumia commercial.. Maana nilikua na waz niwe na Mashine kama hii niweke eneo MF chuo niwe nawafulia wanafunz kwa bei poa ushauri please maana Cio mzoefu na vipi suala la kukausha pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.