subiri povu kwenye haflaMakonda si watamke kitu?
subiri povu kwenye haflaMakonda si watamke kitu?
Jeshi la Zimbabwe jeshi bora kabisa Afrika linalojua majukumu yake na namna ya kuyatekeleza bila kuleta tension au kuumiza wananchi wenye jeshi lao.Nimelipenda bure hili jeshi hebu likodiwe hapo kwa jiran ugandata na rwandata walau demokrasia iheshimiwe
Mpuuzi kwelikweli wewe, kwahiyo kwenu ndio demokrasia inaheshimiwa? Mpaka Sumatra wanawatia madole.Nimelipenda bure hili jeshi hebu likodiwe hapo kwa jiran ugandata na rwandata walau demokrasia iheshimiwe
Ni kweli waliokua pembeni yake walikua wanampa sapoti ili waendelee kupiga ufisadi pia wapate kinga maana wametenda uhalifu mkubwa sana wa kibinadamu serikali mpya ingewatia pabaya...mugabe alikuwa anaendeshwa na yule mwanamke, utakuwa na akili ya ajabu zaidi kuamini 93 year old anafanya maamuzi, ni wahuni tuu walikuwa wanamtumia kupitia mke wake muhuni pia
Ha ha ha! Nimekumbuka ya Nkamia na mpango wake.Mugabe wanted to hand over power to his wife, he thinks leadership is sexually transmitted.. 😀😀😛😛😛 Am done for the week..!!!
kwa hiyo Mama Samoa Suluhu Hasani .Anaweza Ku........
Johannesburg, Afrika Kusini. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amewekwa kizuizini na Jeshi la Ulinzi usiku wa kuamkia jana katika mji mkuu wa Harare, Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amethibitisha.
Zuma alisema jana kwamba alipigiwa simu na Mugabe mwenyewe. Taarifa kutoka ofisi ya Zuma ilisema: "Rais Zuma alizungumza na Rais Robert Mugabe mapema leo na amedokeza kwamba anazuiliwa nyumbani kwake lakini alisema yuko salama."
Kuanzia Jumanne wanajeshi walionekana wakivinjari na kupiga doria katikati ya Harare, baada ya kuteka kituo cha televisheni cha Shirika la Utangazaji la Zimbabwe (ZBC) kwa kile kilichoelezwa wanawalenga “wahalifu”.
Hatua hiyo ya jeshi inaweza kuwa ni mpango wa kumwondoa Mugabe na kumweka katika nafasi hiyo makamu wake aliyefukuzwa kazi wiki iliyopita Emmerson Mnangagwa, shirika la BBC limeripoti.
Ofisa mmoja wa jeshi, Meja Jenerali Sibusiso Moyo alionekana kwenye televisheni baada ya kukiteka kituo hicho akisema Mugabe na familia yake wako “salama na afya njema na ulinzi wao ni wa uhakika ".
Meja Jenerali Moyo alisema, “Sisi tunawatafuta wahalifu waliomzunguka yeye (Mugabe) ambao wanafanya uhalifu na kusababisha machungu ya kijamii na kiuchumi nchini.”
"Mara tutakapokuwa tumekamilisha operesheni hii, tunatarajia kwamba hali itarudi kuwa ya kawaida."
Kufukuzwa kazi kwa Mnangagwa wiki iliyopita kutengeneza njia kwa mke wa Rais Mugabe, Grace kuteuliwa katika nafasi hiyo hivyo kuwa na matumaini ya kuteuliwa kuwa mrithi wa kiti cha mumewe.
Milio mizito ya bunduki ilisikika kaskazini mwa mji wa Harare hadi jana alfajiri.
Chanzo: Mwananchi
Mkuu naungana naweKeshaharibu hata future ya kizazi chake angestaafu kwa heshima aishi milele hata kama asingekuwepo
Kabla hawajafika Uganda, wapitie kwanza DRC, Burundi, Rwanda ndo wamalizie Kampala. Afu wakae hapohapo waone kama italazimika wapitie Mwanza wakati wakirudi walipotoka.Ngoja tuwakodishe hao tuwapeleke Uganda, kuna mtu anatutania!
Swala si umri... swala ni je "alikuwa sahihi"?Hivi yule askofu aliyemfananisha Nagu na Mugabe ana umri gani?
Kwaiyo nae kama dr slaa ahahahahahaha wanawake awatotuacha salamamugabe alikuwa anaendeshwa na yule mwanamke, utakuwa na akili ya ajabu zaidi kuamini 93 year old anafanya maamuzi, ni wahuni tuu walikuwa wanamtumia kupitia mke wake muhuni pia
Mzee wa Busara ni noma toka anasoma.... Mzee wa Busa..ra ...Mzee wa busara