Recent content by Rwegoshora

  1. R

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Baraza jipya la Mawaziri,Hili hapa! 1. Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mathias Chikawe Ofisi ya Rais – Mahusiano na Uratibu: Stephen Wassira 2.Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma Hawa Ghasia 3. Ofisi ya Makamu wa Rais – ( Muungano) Samia Suluhu 2. Ofisi ya Makamu wa Rais...
  2. R

    GE2010 Safari ndefu ya ukombozi imeanza Chadema yagonga rasmi milango ya NEC

    Ndugu zange wakuu wanaJF Haki siyo lazima ipatikane kwa kumwaga damu na kama nchi hii ya kistaarabu inabidi itumike people's power kama Mandela,Gandhi.Khomeini,Nyerere nk. Haki huchelewa kupatikana lakini hupatikana.
  3. R

    GE2010 Online Radio BBC Swahili

    BBC Swahili on USTREAM: Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC ikisikika moja kwa moja kutoka Dar Es Salaam maalum kwa matangazo ya uchaguzi..
  4. R

    Obama atolea macho Tigo ***

    Macho hayana pazia!!!!!
  5. R

    Obama Akasirishwa na Hotuba ya Rais wa Iran, Ahmedinejad!

    http://www.dailymotion.com/video/x18k5v_9-11-where-is-the-plane-flight-77_news
  6. R

    Fla. church to host a 'Burn a Koran Day' on Sept. 11

    Tumepata kujua maoni ya waislamu na wakiristo. Kwanini waichome quran kitabu cha waislamu wote na waliofanya kitendo cha ugaidi ni wachache? Kwani yesu(nabii Issa) aliuliwa na nani? Je IRA ni nani? Je Roman empire mauaji ya historia iliyofanya haya julikani? Je Hitler alikuwa nani ? Je...
  7. R

    GE2010 Kwa Nini Wasio Weusi Hawako Wengi Upinzani?

    Baada ya kuelewa mawazo ya waliochangia thread hii naona kama vile hawa watu hawaeleweki lakini ukweli mi ninaoujua ni kama ufuatavyo. 1.si kweli kwamba hakuna ambao wapo vyama vya upinzani nani aja kuangalia kura.? 2.ni kweli walio wengi wapo na ccm na kuna waliom saidia mwl kupata independence...
  8. R

    Sabodo aichangia CHADEMA milioni mia moja

    Lets be transparent SABODO kawa kigugumizi kwa wanachama. 1-Sabodo anasaidia watu wengi sana bila kubagua rangi na itikadi zao. 2-amechangia chama cha upinzani makelele angechangia chama tawala makelele binadamu hatuna shukrani. 3-nani aijuaye biashara ya huyu jamaa ameshaitwa mfisadi kesho...
  9. R

    Unamkumbuka Murtaza Lakha?!

    Wakuu kama sikosei ni huyu jamaa na website yake hii hapa. Murtaza Lakha
  10. R

    Mkulu wa Hezbollah aaga dunia

    wakuu wengine washa anza kuita jambazi .jamani dunia hii twaelekea wapiii.Freedom fighters wanaitwa terrorist au extreamist. "SMILE AND MAKE OTHER PEOPLE SMILE NO ONE KNOWS OF SECONDS"
  11. R

    Bakshishi/Rushwa imekithiri kitengo cha Ardhi

    Ndugu wasomaji Sijui kama ni mimi nimekutana nayo hayo au wengine pia. Nimetozwa pesa za upimaji ardhi na bakshishi juu tena si ndogo amount balaa. Kweli ni haki na mpaka saa hii miezi mitatu zijapata hata document yeyote. Kama sio ukoloni ni nini tunayasikia ya richmond na epa je hao tuwaite...
  12. R

    Ogende ogaruke na Shuntama

    Wataalamu wa shuntama Nenedeni bukoba hata na wa asia na wazungu wamelewa wanawanawake wawili moja muasia/mzungu mwingine mhaya je nani anabishi sasa. Ukiwauliza wasema moto moto tikisa viungo maji(katerero). Ni Bala shuntama yafanya kazi. Wanaotaka kujo huko uhayani state mjihadhari BE CAREFULL...
Back
Top Bottom