Obama Akasirishwa na Hotuba ya Rais wa Iran, Ahmedinejad! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Obama Akasirishwa na Hotuba ya Rais wa Iran, Ahmedinejad!

Discussion in 'International Forum' started by Buchanan, Sep 25, 2010.

 1. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #1
  Sep 25, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  US President Barack Obama has described as "hateful" and "offensive" the claim by Iran's President Mahmoud Ahmadinejad that most people believed the US government was behind the 9/11 attacks.

  Mr Obama was speaking exclusively to BBC Persian television, which broadcasts to Iran and Afghanistan.

  Mr Ahmadinejad's speech at the UN General Assembly triggered a walkout.

  Mr Obama said it was inexcusable to make such remarks in New York itself, where most of the victims of 9/11 died.

  Nevertheless, he reaffirmed America's commitment to reach out to the people of Iran.


  Kwa habari zaidi: Soma hapa.
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Sep 25, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Huyu Ahmedinejad anakana kila kitu! Holoucast anadai haikuwepo, Sept 11, 2001 anadai eti Wamarekani waliua raia wake wenyewe! Ridiculous!
   
 3. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kwanini asijibiwe kwa hoja na evidence badala ya kuwa analaumiwa kwasababu hivyo ndio anapopata wafuasi kama yeye.
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Sep 25, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Evidence zipo lakini huyu jamaa keshaamua kuamini anachoamini! Osama mwenyewe alikubali kwamba alilipua majengo pacha ya Marekani, sasa yeye anataka ushahidi upi?
   
 5. J

  JokaKuu Platinum Member

  #5
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,770
  Likes Received: 4,984
  Trophy Points: 280
  ..Obama anapoteza muda tu kujibishana na Ahmedinajed.

  ..pia anapoteza muda kujaribu ku-win the hearts and minds za watu wa Middle East na Islamic world in general.

  ..hawa watu wameteseka muda mrefu sana, na itachukua muda mrefu zaidi, kuwapunguzia mateso yao na kuwarudisha ktk hali ya kawaida, na kuwa na imani na USA.

  ..the best he can do for America sasa hivi, ni kuondoa majeshi yake Iraq na Afghanistan bila kuchelewa. baada ya hapo aelekeze nguvu zake zote ktk kufufua uchumi unaoyumba wa Marekani.
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,654
  Trophy Points: 280

  Wewe ushawahi kumuona huyo Osama? Yupo wapi?
   
 7. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kaka Osama remain to be a myth kwasababu hakuna hata mmoja mwenye evidence ya kufanya hivyo vitu. Kukubali tu ameshiriki katika kuandaa kitu katika sheria ni ngumu sana mahakama kuhukumu kwasababu tutajuaje kama osama huyo ndio mwenyewe in person? Pili hata kama ni mwenyewe je alikuwa katika state of mind wakati anafanya hivyo vitu na tatu ana kundi lake hilo la al-qaeda je kuna hata jumuia mmoja isiyokuwa na uhusiano na marekani iliyowahi kuwakamata hao jamaa..... Mie simsapoti huyu mwendawazimu wa iran ila kwa hoja nadhani ingelikuwa busara akajibiwa kwa hoja na sio jazba
   
 8. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  You damn right mkuu nadhani atakuwa na busara sana akifanya hivyo je unadhani atayaacha mafuta yale ya iraq mchina ayachukue na silicon rocks kule Afghanistan wachukue wachina watajirike nazo?
   
 9. J

  JokaKuu Platinum Member

  #9
  Sep 25, 2010
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,770
  Likes Received: 4,984
  Trophy Points: 280
  Mdondoaji,

  ..USA inabidi watafute some sort of safe landing wakiajiandaa na China kuwa the world number one superpower.

  ..kwangu mimi nawachotakiwa kufanya ni kuachana na hii idea ya kuwa world policeman.

  ..let China be the guarantor of the peace in the middle east. let China try to solve the israel-palestinian conflict.

  ..labda Deng Xiaping au Hu Jintao anaweza kuwaweka chini Netanyahu, Abbass, na Hamas, na kupata suluhisho la kudumu mashariki ya kati.

  ..Japan ndiyo number 2 au 3 world economic power. now, what r they missing by not being the world policemen? siyo lazima USA awe world policeman ili wananchi wake waweze kuishi maisha mazuri.

  ..huwezi kupigana vita in a foreign land bila kuwa na support ya wananchi wa eneo husika. hiyo ndiyo sababu ya msingi ya mimi kupendekeza Wamarekani wajiondoe huko middle east na sehemu nyingine hostile.

  ..vilevile Wamarekani have placed their best brains in the development of weapons, badala ya kuwaelekeza ktk ku-develop technologies na products ambazo zinatumika dunia nzima. angalia jinsi Japan alivyo-take over car manufacturing na kuweza hata ndani ya USA.
   
 10. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Tuko pamoja mkuu lakini pointi yangu labda huilewi kama ulivyosema wanatafuta safelanding US is also looking for way to get back in the game. Na kwakuwa hawazalishi (wamezoea kuimport vitu from China and elsewhere) wanajikuta ile trade deficit inakuwa kila siku. Sasa kuipunguza wanaweza kwa kuintroduce technology na uzalishaji energy duniani ili waweze kuwa na makampuni makubwa ya kimarekani (i.e. through FDI) yenye kuajiri na kulipa kodi zitakazosaidia kuirudisha marekani in the game. Ndio maana US strategy sasa ni kusambaa duniani ili wazalishe kuliokoa taifa lao linaloangamia
   
 11. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #11
  Sep 26, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mtasema mengi sana kumtetea gaidi la kiislamu Osama bin Laden! Hivi ni kichaa gani anayeweza kuwaua wananchi wake zaidi ya 3,000 eti "kwa sababu ya matatizo ya kiuchumi" ya ndani au "kulinda Taifa la Israel?" Muda si mrefu, denier of everything, atakana kwamba aliwahi kuwa Rais wa Iran! Only the crazy Ahmedinejad can think along those lines!
   
 12. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kaka watu wameua mamilioni ya raia wake for just kuhakikisha they remain in power (Mfano adolf Hitler alipowaua wayahudi just kwakuwa aliamini wanadhulumu rasilimali zao), Stalin na Marxist waliua watu mamilioni russia sembuse marekani kaka sacrifice the few for the betterment of nation (being nationalist ndio maana utasikia god bless america)
   
 13. R

  Rwegoshora Member

  #13
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 23, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. R

  Rwegoshora Member

  #14
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 23, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [video=dailymotion;x18k5v]http://www.dailymotion.com/video/x18k5v_9-11-where-is-the-plane-flight-77_news[/video]
   
 15. mzozaji

  mzozaji JF-Expert Member

  #15
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 28, 2010
  Messages: 257
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Raisi mzima anakuja na story za kijiweni zisizokuwa na uhakika... Kwa hiyo anataka kutuambia zile ndege wamarekani walituma marubani wawaue na wajiue na ndugu zao?
   
 16. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #16
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mna uchungu sana na raia wa marekani na middle east kuliko displaced poors wa tanzania?
  Chagua Slaa tutajenga nchi yenye uchumi wa kuheshimika duniani.
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Sep 27, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  - kuna sehemu nilisoma kwenye internet document moja inayosema kuwa CIA wanasema Osama bin Laden was hospitalised in Rawlpindi tarehe 9 sept and so he would not supervise the attack.
  -Na pia pale pentagon mashuhuda wanadai hakukuwa mabaki yoyote ya ndege na kwamba Boeing 777 isingezama yote kwenye tundu la upana wa mita tatu. na kama ingekuwa ndege jengo lote lingeungua kwani ndege ilikuwa na kama gallons 8000 za JEt A1 fuel na hivyo zingelipuka na kuchoma kama si jengo lote basi eneo kubwa sana. wanadai it was a missile - surface to surface or air to air/surface bunker missile could have been used.

  -kinachokanganya, osama took a credit on it - could he have been buying heroism from islamic world?

  Kwa holucaust, ahmednejed is out of his common sense
   
 18. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #18
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Jamani tukiwa tunajadiri masuala ya akina obama mkumbuke pia, kuwasisitiza watu wajitokeze kwa wingi kupiga kura tarehe 31/10/2010 maana umefika sasa watu kutoa sauti zao kwa kutumia masanduku ya kura.
   
 19. bona

  bona JF-Expert Member

  #19
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  mkuu umeongea bonge la point, kuna mda niliandika thread kuzungumiza jinsi watanzania tunavyoguswa na matukio middle east kuliko hata east africa, kuna mapigano congo, sudan, niger delta, guinea, uganda na raia wengi wasio na hatia wanakufa ila hatuoni tunashabikia tu wairaq na wapalestina! tumerogwa au? watu wanaaandamana tanzania kwa mauaji ya raia wasio na hatia ukanda wa gaza, mbona hatuandamani kwa ajili ya congo, uganda, darfur, guinea, rwanda na burundi au huku sio raia wasio na hatia?
   
 20. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #20
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hili tukio limezua utata mkubwa USA kwani pia kuna shaka kuwa kama sio planned attack from inside kwa nini waziri wa ulinzi alituma kikosi cha ziada cha uokoaji kule New York siku moja kabla ya tukio? na wadadisi wa mambo wanaenda mbali sana kwa kulihusisha tukio hili na dini ya Freemason, ambayo siku 9/11 kwa dini hii uhusishwa na utoaji sadaka ya damu kwa MUngu wao Lucifer! na mbaya zaidi Bush anasadikiwa kuwa ni mfuasi wa dini hii! Na kwanini Ndege mbili na zigonge WTC well, inasemekana tukio hili lilipangwa miaka 11 kabla ya tukio na waliamua kutumia utabiri wa zamani uliosema kuwa " Nawaona ndege wawili wa chuma wakigonga minara miwili katika nchi iliyoinuka na kuwa taifa kubwa na tajiri" ndio sababu ya kutumia ndege mbili na kugonga WTC. waliamua kutumia vijana wa kiarabu ili kulink na al queda na kuficha ukweli wa uhusika wao! Pamoja na dhana hii lakini swali kubwa linabaki pale pale " hata kama Bush ni katili na muuaji ( kama tunavyoshuhudia kule Irak) lakini is he capable of killing his own brother and sisters just for the sake of stupid blood sacrifice?
   
Loading...