Rwegoshora
Member
- Jul 23, 2009
- 13
- 3
Lets be transparent
SABODO kawa kigugumizi kwa wanachama.
1-Sabodo anasaidia watu wengi sana bila kubagua rangi na itikadi zao.
2-amechangia chama cha upinzani makelele angechangia chama tawala makelele binadamu hatuna shukrani.
3-nani aijuaye biashara ya huyu jamaa ameshaitwa mfisadi kesho nawe ukisha tajirika mfisadi na hatma hata Mengi ataitwa mfisadi.(kwa ujumla wafanya biashara na matajiri wote bila kujali rangi zao ni mafisadi )
4-Tumeona mawaziri mafisadi je !?