Bakshishi/Rushwa imekithiri kitengo cha Ardhi

Rwegoshora

Member
Jul 23, 2009
13
2
Ndugu wasomaji
Sijui kama ni mimi nimekutana nayo hayo au wengine pia.
Nimetozwa pesa za upimaji ardhi na bakshishi juu tena si ndogo amount balaa.
Kweli ni haki na mpaka saa hii miezi mitatu zijapata hata document yeyote.
Kama sio ukoloni ni nini tunayasikia ya richmond na epa je hao tuwaite mabepari au mafisadi.
 
Back
Top Bottom