Recent content by Rwechu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Meya Jerry Silaa anunua gari la ndoto yake

    Mbona hii namba ya gari ni ya siku nying? CSX huenda ya mwezi wa saba mwaka jana sio mwaka huu. Tangu mwaka jana mwishoni namaba zilishaenda D...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Kinana

    Umelinganisha vitu viwili tofauti. - Mbowe ni Mwenyekiti wa chama na Kinana ni katibu mkuu wa chama. - Mbowe anachaguliwa na mkutano mkuu wa chama na Kinana anateuliwa na Mwenyekiti wa chama chake na kuthibitishwa na secretariet ya chama chake. - Kina unaweza kumlinganisha na Dr. Slaa sio...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa & TCRA mko wapi, watanzania masikini tunaibiwa na Vodacom

    Nadhani umeover react. Kifurushi cha 500 alafu afunge safari kwenda ofisini kwao, atumie nauli ya 1000 au 2000 kwenda na kurudi. Mi nakushauri amia mtandao mwingine tu basi.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tambo za waziri Muhongo

    Hata mimi nilishangaa sana alichotaka kufanya prof. Muhongo. Hajui huyo aliyemdharau kesho aweza kuwa PM au President na akaanza kumnyenyekea. Kwakweli alinichufua ingawa waga simkubali sendeka.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tiketi za ndege ziliwekewa 'cha juu' mara 16 serikalini!

    Ndege kubwa inavyoonekana kwa ndani Dodoma. Tuhuma nzito za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka zimezidi kuibuliwa katika ofisi nyeti za Serikali, ikiwamo ya tiketi za ndege kuuzwa kwa bei kubwa mara 16 zaidi ya nauli halisi. Hayo yamo katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Pan Africa Energy (PAE) kupunguza uzalishaji wa gesi... Nchi kuingia gizani?

    PAE hawana uwezo wa kupunguza uzalishaji wa gesi, mwenye mamlaka hayo ni Songas. PAE ni muendeshaji tu.
  7. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamedanganya UMMA wa watanzania kuhusu maandamano ya kesho

    Mtatiro at work, new mtatiro ID
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kuhusu unaoitwa uponyaji na tv zetu

    Ni kweli uponyaji upo, mimi nimeshuhudia walemavu wakipona na viziwi kwa jina la Yesu. Hata mimi nilikuwa na shida ya mguu niliombewa nikapona. Nakubali matapeli wengi sana wapo na hiyo biblia imesema juu ya manabii wa uongo na ikatupa kigezo cha kuwajua. Inasema "mtawatambua kwa matunda yao"...
  9. R

    JamiiForums Tanzania TRA na malipo ya fire inspection - nini maana yake?

    Hata mimi nililambwa 180000 alafu hakuna cha ukaguzi wala nini. Na road licence niliyopewa haionyeshi chochote kuhusu fire inspection
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kituo cha televisheni cha ATN chavamiwa na majambazi

    Ni kweli radio tumaini wametangaza asubuhi ila matango ya ATN yako hewani
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kituo cha televisheni cha ATN chavamiwa na majambazi

    Tv iko hewani
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    Funguka zaidi, nini kimesababisha mabom?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Askofu mkuu wa kanisa la TAG atoa tamko kuhusu chokochoko za udini

    Ahsante Bishop bilashaka wahusika wamepata msg.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Watoto wa vigogo na ajira BoT

    Hivi kuna watoto wa vigogo wapo TRL au TAZARA?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Gazeti la uchambuzi wa kina mwanahalisi kufunguliwa lini?

    Umeamka usingizini?
Back
Top Bottom