Tambo za waziri Muhongo

Tambo za waziri Muhongo

Kuwa na CV kubwa kuna tofauti na kuwa na akili za kutambua na kuchanganua mambo.

Huyu ana akili za darasani ila sio za maisha
Thank u very much kwa kuonyesha umbumbumbu wako
 
Kati ya wanasiasa na viongozi serikalini wenye tambo, jeuri, majivuno, majigambo au misifa prof. SOSPETER MUHONGO anaweza kuingia tano bora kama sio kuongoza. Kwa haraka haraka jana tu katika mjadadala wa wizara ya nishati na madini aliweza kusikika kwa tambo zifuatazo;

1. Watu wanajifanya wana ushahidi tena ushahidi feki! Mimi nina ushahidi wa gari zima la tani moja

2. Mbowe ananionea huruma wizara yangu kuwa kubwa inahitaji kugawanywa! Nadhani hanifahamu vizuri, mimi nimeongoza tafiti za geology afrika nzima

3.Nilidhani Ole Sendeka ni genious kumbe...watu wameniletea cheti chake cha matokeo ya sekondari

Kwa aliyemsikia jana au siku nyingine yoyote ongezea tambo zake, ikiwezekana ongezea hata kauli za voja za viongozi wengine

Na haya majibu ya Sendeka utagundua nani kaelimika!
maana kuna kusoma na kuelimika baada ya masomo!

Vita ya Sendeka, Muhongo yakolea bungeni

Lakini jana Ole Sendeka aliyezungumza na gazeti hili alisema kuwa waziri huyo ni mbumbumbu na hajui kanuni na taratibu za CCM katika suala zima la kuwasilisha malalamiko au ushahidi wa jambo fulani. “Anapeleka CD kwa Spika wa Bunge, kwani Spika ni karani wa CCM? Hajui kanuni za Bunge, wala za CCM.”
 
Mkuu. Nichangie au nijibu hoja zako takriban tatu au nne bila kuingiza siasa au vyama vya siasa kama ifuatavyo:
1. Si kazi ya serikali kukuza mitaji ya wananchi,mitaji inakuzwa na taasisi mbalimbali katika sekta binafsi na za uma mfano mabenki nk. Kazi ya serikali ni kuweka sheria na ku regulate shughuri zao.
2. Si kazi ya serikali kushawishi wafanyabiashara waungane. Wenyewe wanatakiwa wajitambue,wawe wamoja na wasipigane majungu.
3. Kuhusu serikali kuanzisha shirika/kampuni kisha iuze shea,ndicho serikali inachofanya,tayari TPDC inasimamia gas na utafutaji mafuta,na soon itauza share ,na ndio maana mnaambiwa nendeni TPDC mkaeleweshwe,hamtaki mnabaki kupiga majungu mtaani. Mwisho umesema kiongozi mzuri ni yule anayezungumza machache na kutenda mengi,sawa,sasa mbona hayo machache anayozungumza Prof .Mhongo hamyasikilizi,mnampiga majungu tu ili aache kazi zake awe kila siku anajibu majungu ili atoke kwenye mstari? Nawachukia baadhi ya viongozi wa CCM wasio wachapakazi na mafisadi. Lakini Prof. at least naona afanyacho.

Hata wakati migodi inaanzishwa yule Dr. Abdallah Kigoda alikuwa akiliambia bunge kuwa nchi itafaidika sana na uchimbaji wa madini lakini hadi leo bado faida haijaonekana kwa wananchi walio wengi zaidi ya kusikia kashfa za vuongozi kujinufaisha.

Hiyo namba3 jibu ni la kutia simanzi hebu niambie wananchi wangapi wakaiwa tu ambao wanawrza kununua hisa haswa wale wa mikoa ya Lindi na Mtwara? Hii dhana ya kuuza hisa ni ya haina tija badala yake nadhani TPDC ingekuwa inaibua miraji ya maendeleo kuwasaidia waru maskini, hapa tunawajengea ulaji kundi flani na watu. Mfano mzuri ni wa NHC hebu nieleze hizo nyumba wanazo jenga mtu gani mwenye kipato cha lako 3 hadi 5 kw mwezi atanunua? Kwanini wasijenge na kupangisha tu?
 
Kungu mimi nitabaki na dhana kuwa huyu bwana ameingia mahali asipotakiwa kuwa. Kwa level yake hata huo uwaziri ni cheo kidogo. Anaweza kuoneka muongo kwa sababu kundi alilomo sasa ndivyo walivyo. Hawaamini yamsemayo na mwenzao kwa kuwa na hulka ya uongo. Hebu soma profile yake hapa Sospeter Muhongo - Wikipedia, the free encyclopedia Je, na huko alikuwa anawadanganya?
 
Hawa watu wana hiyo asili ya majivuno,alikuwepo marehemu Profesa Machumu JK alimtupa kijijini baada ya kushindwa Wizara ya Uchumi na Mipango pamoja na ukuu wa mkoa wa Kigoma.
Hawana kitu, ni majigambo Geology na Biashara wapi na wapi, idara kubwa za hiyo Wizara zimekaa kibiashara na kisheria zaidi katika uendeshaji wake,
Sasa Muhongo hayo majigambo yamejaa superior complexity zaidi kwa sababu ana feel vacum kwenye hizo fani.
Aliwahi kusema kiwango cha chini cha ELIMU katika Wizara yake kitakuwa ngazi ya UZAMILI (Masters) kwa maana ya mfagiaji Nalabuk.
 
"Mnyika ukimuuliza mbili kipeo cha nne mara nne ni ngapi hajui", Hawa watu inawezekana wanatokea Uganda manake naye dada yake kwenye ardhi majibu ni hayo hayo...Lakini bajeti zao zimepita eti..
 
Mkuu. Nichangie au nijibu hoja zako takriban tatu au nne bila kuingiza siasa au vyama vya siasa kama ifuatavyo:
1. Si kazi ya serikali kukuza mitaji ya wananchi,mitaji inakuzwa na taasisi mbalimbali katika sekta binafsi na za uma mfano mabenki nk. Kazi ya serikali ni kuweka sheria na ku regulate shughuri zao.
2. Si kazi ya serikali kushawishi wafanyabiashara waungane. Wenyewe wanatakiwa wajitambue,wawe wamoja na wasipigane majungu.
3. Kuhusu serikali kuanzisha shirika/kampuni kisha iuze shea,ndicho serikali inachofanya,tayari TPDC inasimamia gas na utafutaji mafuta,na soon itauza share ,na ndio maana mnaambiwa nendeni TPDC mkaeleweshwe,hamtaki mnabaki kupiga majungu mtaani. Mwisho umesema kiongozi mzuri ni yule anayezungumza machache na kutenda mengi,sawa,sasa mbona hayo machache anayozungumza Prof .Mhongo hamyasikilizi,mnampiga majungu tu ili aache kazi zake awe kila siku anajibu majungu ili atoke kwenye mstari? Nawachukia baadhi ya viongozi wa CCM wasio wachapakazi na mafisadi. Lakini Prof. at least naona afanyacho.
Umeongea kweli ila hapo namba moja kwa Taifa kama letu au mataifa ya Africa kwa ujumla bado serikali inatakiwa ifanye kubwa kwa kuwa Tanzania tunatumia zaidi mantiki kuendesha mambo yetu badala ya sheria. Kwa namba mbili naungana na wewe ila kwa kuwa nchi yetu bado tupo kwenye traditional society bado kwa namna moja ama nyingine serikali ina nafasi ya kuhamasisha wafanyabiashara hasa wachanga kuhusu umuhimu wa kujiunga ili na wao waweze kukusanya mapato makubwa zaidi kwa kuwa tukisema tujifanye kama nchi za ulimwengu wa kwanza ambazo wananchi wana uelewa mkubwa na sheria zao ndio zinaongoza viongozi hatuwezi kufika kule tunapokusudia. (tunatakiwa tupige combination pale unapoona mwitikio ni mdogo kama serikali piga kelele wananchi wako wajiunge ila pia wale ambao wapo tayari wape fursa na kama hakuna komaa na wawekezaji kwa kuwa mwisho wa siku watu watajifunza)
 
Sijui kwa sababu elimu yangu ni ya mchina maana nikiangalia michango ya watu nashindwa kutofautisha "mwenye akili nyingi" na "msomi", inaonekana kwa Tanzania msomi mbobefu ndio mwenye akili nyingi (of course ni sawa ndio maana akaweza kufika huko kitaaluma) lakini pia hata wale ambao ni shuleless wapo wenye akili nyingi pia sema fursa hawakupata kutokana nafasi finyu kipindi kile za kuendelea kimasomo pia kwa mtazamo wa kawaida hata ukimwangilia mtu unamwona kabisa ana vitu kichwani sema fursa ilimkimbia
 
Sidhani kama Muhongo anafahamu yeye ni nani kwenye wizara yake.
Bado haja establish position yake na wajibu wake. Bado ana hangover ya kutoamini kuteuliwa ubunge na kupewa uwaziri overnight.
 
Hii siyo lugha nzuri kwa kiongozi wa umma; ni lugha ya mtaani tena kwa watu wasiokuwa na elimu ya kutosha. Profesa anatakiwa kutumia lugha yenye staha hata kama anaamini hayo anayoyasema ni ya kweli. Kiongozi anayetuambia tukasindike tu juice na nyanya hatufai hata kama ni msomi mzuri au genius. Mwalimu Nyerere angemvua huo uwaziri kesho yake. Kazi ya waziri wa madini siyo kuvuna tu hayo madini. Jukumu lake la msingi ni kuhakikisha kuwa rasilmali hiyi inatumiwa katika njia ambayo ni endelevu na inayowanufaisha wenye rasilmali hiyo. Hilo Profesa hajalisomea na halijui. Ndiyo maana anatumia lugha ya kijeuri namna hii. Anajua pia kuwa demokrasia yetu imebakwa; wabunge wa chama chake wamejipanga kumlinda kwa gharama yoyote hata kama anatudharau, anatudhalilisha, haoni haja ya kutuwezesha kushiriki kwenye miradi ya madini na gesi, nk. Shame on this country.
 
kati ya wanasiasa na viongozi serikalini wenye tambo, jeuri, majivuno, majigambo au misifa prof. Sospeter muhongo anaweza kuingia tano bora kama sio kuongoza. Kwa haraka haraka jana tu katika mjadadala wa wizara ya nishati na madini aliweza kusikika kwa tambo zifuatazo;

1. Watu wanajifanya wana ushahidi tena ushahidi feki! Mimi nina ushahidi wa gari zima la tani moja

2. Mbowe ananionea huruma wizara yangu kuwa kubwa inahitaji kugawanywa! Nadhani hanifahamu vizuri, mimi nimeongoza tafiti za geology afrika nzima

3.nilidhani ole sendeka ni genious kumbe...watu wameniletea cheti chake cha matokeo ya sekondari

kwa aliyemsikia jana au siku nyingine yoyote ongezea tambo zake, ikiwezekana ongezea hata kauli za voja za viongozi wengine
misifa ni jadi ya kabila la wajita, hawaendekezi mali ila sifa. Kama muhongo-jina lake ni mwijarubi, kama anatuhumiwa ufisadi basi ccm hakuna mtu wa kunywea maji. Dini na kabila lake wizi unawasingizia. Uliza cv yake, darasa la nne alimaliza lini kwani rekodi zinaonyesha alikwaa kisiki. Amesomea musoma mjini, mennonite primary.
 
Hii kauli naichukia sana

Hili ni jembe katika serikali ya Kikwete. Wengi wetu tumezoea kudanganywa hatutaki kuambiwa ukweli. Hao wanaodai viwanja vya mafuta wataendelezaje hivyo viwanja iwapo viwanja vya vito na dhahabu wameshindwa hata kuviendeleza achilia kulipia annual rents
 
misifa ni jadi ya kabila la wajita, hawaendekezi mali ila sifa. Kama muhongo-jina lake ni mwijarubi, kama anatuhumiwa ufisadi basi ccm hakuna mtu wa kunywea maji. Dini na kabila lake wizi unawasingizia. Uliza cv yake, darasa la nne alimaliza lini kwani rekodi zinaonyesha alikwaa kisiki. Amesomea musoma mjini, mennonite primary.

Mkuu, fafanua hapo kwenye red, manake sisi twamjua vizuri Prof. Sospeter Muhongo Mwijarubi (Faru) wa Nyawayega wa Marero!
 
Hii siyo lugha nzuri kwa kiongozi wa umma; ni lugha ya mtaani tena kwa watu wasiokuwa na elimu ya kutosha. Profesa anatakiwa kutumia lugha yenye staha hata kama anaamini hayo anayoyasema ni ya kweli. Kiongozi anayetuambia tukasindike tu juice na nyanya hatufai hata kama ni msomi mzuri au genius. Mwalimu Nyerere angemvua huo uwaziri kesho yake. Kazi ya waziri wa madini siyo kuvuna tu hayo madini. Jukumu lake la msingi ni kuhakikisha kuwa rasilmali hiyi inatumiwa katika njia ambayo ni endelevu na inayowanufaisha wenye rasilmali hiyo. Hilo Profesa hajalisomea na halijui. Ndiyo maana anatumia lugha ya kijeuri namna hii. Anajua pia kuwa demokrasia yetu imebakwa; wabunge wa chama chake wamejipanga kumlinda kwa gharama yoyote hata kama anatudharau, anatudhalilisha, haoni haja ya kutuwezesha kushiriki kwenye miradi ya madini na gesi, nk. Shame on this country.

Mkuu, kwenye ukwei lazima usemwe. Nyerere hakuwa na tambo kabisa za mambo ya Elimu, ingawa yeye alikuwa Mtanzania wa Kwanza kwenda Kusoma Edinburg Masters yake.

Umenena kweli kabisa
 
Hivi huyu is ndio alikataa ku panda ndege kwa kuwa alikatiwa tiketi ya economy akitaka first class kuelekea Algeria???.
Si huyu huyu ndio aliwakejeli wana Mtwara juu ya gesi......
 
-Kitendo hiki hakipaswi kufumbiwa Macho na wazalendo wa Nchi yetu.
-Siku chache zimepita mapema wakati wa kupitisha makadirio ya bajeti Wizara ya Nishati na Madini, Mh.Olesendeka alihoji Juu ya sakata la IPTL na wasiwasi wake katika Utekelezaji wa Ahadi za Rais Mh.Dk.Jakaya kikwete katika Jimbo lake Hata kufikia hatua za kutoa ushaidi wa Machapisho na nyaraka.
-Waziri Pro.Muhongo Bila "AIBU" alimzodo na kuzalilisha Mh.Olesendeka kwa maneno:
¤Olesendeka ni mchochezi na uanchama wake CCM Unapaswa kupimwa upya na akakabidhi Cd kama ushaidi wakile alichosema.
¤Akajaribu kuonesha matokeo ya Olesendeka ya sekondari dhana ambayo ina maana akupaswa kusikilizwa kwa Ufaulu aliokuwa nao.
¤Muhongo akabeza nyaraka na machapisho yaliyo wekwa mezani kama Ushahidi kwa kudai yeye ana Tani moja ya makaratasi kama hayo.

Kitendo alichofanya waziri wangu Muhongo akipendezi.
``Ninamtaka Waziri kutekeleza mujukumu yake pasipo kuwagawa watanzania na viongozi wao kwa misingi ya Elimu``.
 
Hata mimi nilishangaa sana alichotaka kufanya prof. Muhongo.
Hajui huyo aliyemdharau kesho aweza kuwa PM au President na akaanza kumnyenyekea.
Kwakweli alinichufua ingawa waga simkubali sendeka.
 
Pale alichemka, Ila sendeker kahamia kusakama ukawa Tena kapotezea la kwake na muhongo
 
Back
Top Bottom