Wanasiasa & TCRA mko wapi, watanzania masikini tunaibiwa na Vodacom

NG'HOMELE

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
470
Reaction score
147
Hii si mara ya kwanza naweka vocha najiunga na cheka time haswa nyakati za usiku bila hata kukitumia lakn baada ya masaa kadhaa hicho kifurushi sikioni tena, yaani naambiwa sina kifurushi na paswa kujiunga na kifurushi kingine.

Nimejaribu kuwapigia customer care jibu wanalonipa ni kuwa nimejiunga kweli lakn hawajui ni kwanini taarifa zangu hazionekani.

Wito wangu ni kwa watu wote wenye uwezo wa kututetea sisi tunaibiwa na hawa voda watusaidie haswa wanasiasa na tcra tusaidieni.

Voda wanachukua hela bure mfano wateja wao mil 5 wakiweka vocha ya 500 na kuwapora vifurushi vyao ndani ya usiku mmoja wanaingiza tsh milioni 250 huu ni wizi wa kutisha.

Nawasilisha
 
mnaibiwa wangapi acha uzumbu kuku we unachotakiwa ni kwenda kama umepiga cm wameshindwa kukusaidia wananchi wote 2natumia vifurushi we ndo unaibiwa peke 7bu we nitajili vocha yenyewe 500? wa vifushi vya cku, kwa we ni mpumbav.u sana sasa unashtaki kwa wanasiasa c uende polisi? acha ujinga
 
Ni kweli kunatatizo kubwa la wizi wa pesa za wateja, mm pia imenikuta mara kadhaa na huduma kwa mteja hawana majibu ya kuridhisha.
Tunaomba mamlaka husika iingiliekati
 
Its very easy to do business in Tanzania than any other country in Africa - Wawekezaji.
 
mnaibiwa wangapi acha uzumbu kuku we unachotakiwa ni kwenda kama umepiga cm wameshindwa kukusaidia wananchi wote 2natumia vifurushi we ndo unaibiwa peke 7bu we nitajili vocha yenyewe 500? wa vifushi vya cku, kwa we ni mpumbav.u sana sasa unashtaki kwa wanasiasa c uende polisi? acha ujinga

Nadhani umeover react. Kifurushi cha 500 alafu afunge safari kwenda ofisini kwao, atumie nauli ya 1000 au 2000 kwenda na kurudi. Mi nakushauri amia mtandao mwingine tu basi.
 
Hauko mwenyewe ndugu. Mimi mpaka sasa nimeamua kuacha kuweka vocha kwani nikiweka tu nakatwa hela, nilishawapigia customer care mara 3 lakini longolongo nyingi na sioni hali hii ikikoma. Siwapigii tena maana sina mpango endelevu na line yao. Kampuni za simu ziko nyingi na zenye huduma bora zaidi yao.
 
Hii kitu ipo na imeisha nitokea zaidi ya mara tatu hawa jamaa wanaiba kwel
 
mnaibiwa wangapi acha uzumbu kuku we unachotakiwa ni kwenda kama umepiga cm wameshindwa kukusaidia wananchi wote 2natumia vifurushi we ndo unaibiwa peke 7bu we nitajili vocha yenyewe 500? wa vifushi vya cku, kwa we ni mpumbav.u sana sasa unashtaki kwa wanasiasa c uende polisi? acha ujinga

We mshika pembe wa voda nani asiye jua voda niwezi??? Nlisha watema hawa siku nyingi sana hta vifurushi vyao havikaiunaweza ukapewa gb 1 ukakuta umetumia mb 670 unaambiwa kimeisha wakati airtel ukijiunga gb 1 ukifika mb930 hapo ni upload na download ukjumlisha lakini so voda
 
Hiyo issue ni ya kweli kabisa vodacom wanaifanya wanakata pesa bila kuunga kifurushi nashangaa huyo jamaa anaanza kupaniki ujinga hajui hata kuandika ana uhakika gani kama mleta muda huwa anaweka vocha ya mia tano kaivamia jf ehh
 
mnaibiwa wangapi acha uzumbu kuku we unachotakiwa ni kwenda kama umepiga cm wameshindwa kukusaidia wananchi wote 2natumia vifurushi we ndo unaibiwa peke 7bu we nitajili vocha yenyewe 500? wa vifushi vya cku, kwa we ni mpumbav.u sana sasa unashtaki kwa wanasiasa c uende polisi? acha ujinga

kwanini ikuume kuliko alieibiwa?? mia 500 ni ndogo unaweza kuinya? wewe pesa unazitafuta au unahongwa na wanaume na kuwapa utamu? Acha upumbavu wewe.
 
Hauko mwenyewe ndugu. Mimi mpaka sasa nimeamua kuacha kuweka vocha kwani nikiweka tu nakatwa hela, nilishawapigia customer care mara 3 lakini longolongo nyingi na sioni hali hii ikikoma. Siwapigii tena maana sina mpango endelevu na line yao. Kampuni za simu ziko nyingi na zenye huduma bora zaidi yao.
Ni kweli kabisa jamaa wanaiba mchana kweupe, nimeweka kifurushi cha wiki kwa 5,000 nikawasiliana mara moja then kikaisha, ukipiga customer care hakuna majibu ya kuelekea. Anyway nimeamua kuwaweka pembeni kwasababu wao sio monopoly, sokoni kuna wengi, wanaangalia quick profit lkn itawa cost.
 
Wizi mwingine unakuta kwenye simu una 600 unajaribu kununua kifurushi cha 500 unaambiwa huna salio la kutosha na hapo unaamua kununua cha 400. Cha ajabu pindi kifurushi chako kikiisha wanalamba na 200 iiliyobakia na kukuachia 0.00 wakati ilitakiwa wakupe taarifa.
 
mnaibiwa wangapi acha uzumbu kuku we unachotakiwa ni kwenda kama umepiga cm wameshindwa kukusaidia wananchi wote 2natumia vifurushi we ndo unaibiwa peke 7bu we nitajili vocha yenyewe 500? wa vifushi vya cku, kwa we ni mpumbav.u sana sasa unashtaki kwa wanasiasa c uende polisi? acha ujinga
wewe ungekuwa karibu yangu ningekutia madole mpaka uache tabia ya kujamba mashuzi hovyo mbele ya wakubwa na makwenzi juu zuzu wewe.

voda ni majizi to the highest level, huu ni mwska wa tatu tangu nimetupa chooni line lao na uzuri kwenye e-money tigo sasa hivi ndio ina app rafiki.

tigo na airtel zinanitosha kwa sasa internet nipo sana airtel na e-money tigo imeniteka kabisa.
 
kuna sku nilikopa 500,nikaweka 1000
ikaja salio.1465
nikajarb kujiunga ikagoma nikapiga ikalamba hela zote ya mkopo na zile za kawaida. withn seconds,nikaweka 500,ikawa 563 ikawa inanambia siwez kujiunga nikaweka jero ndo ikakubal! so kwa mkopo wa 500 ikanitoka 2000! baada ya cku mbili nkaweka 500 ucku kuamka hakuna kitu nikahangaika kumbe kifurush kimeyeyuka kinachofanya niendlee kutumia voda internet tu!
 
mnaibiwa wangapi acha uzumbu kuku we unachotakiwa ni kwenda kama umepiga cm wameshindwa kukusaidia wananchi wote 2natumia vifurushi we ndo unaibiwa peke 7bu we nitajili vocha yenyewe 500? wa vifushi vya cku, kwa we ni mpumbav.u sana sasa unashtaki kwa wanasiasa c uende polisi? acha ujinga

Nazani utakuwa na pepo la ngono unahitaji kukunwa km ww huibiwi kakojoe ulale upapaswe vizuri, nyambafu ww...
 
Ni kweli wanaiba, mie siku hizi nikiweka vocha kwenye voda najiunga na kifurushi cha siku basi, hata wakikata nakuwa nimeshazungumza mambo ya muhimu kwa wakati huo.

Ila ukibakiza salio tu hawakawii kulikomba hata kama una kifurushi!
 
Unapojiunga kifurushi huwa unapokea message ya udhibitisho?
 
mnaibiwa wangapi acha uzumbu kuku we unachotakiwa ni kwenda kama umepiga cm wameshindwa kukusaidia wananchi wote 2natumia vifurushi we ndo unaibiwa peke 7bu we nitajili vocha yenyewe 500? wa vifushi vya cku, kwa we ni mpumbav.u sana sasa unashtaki kwa wanasiasa c uende polisi? acha ujinga

Duh punguza jazba ndugu.
 
Back
Top Bottom