Recent content by rutoryo

  1. R

    Kuna mtu anaiua CCM kwa speed ya rocket

    Acha wapige umbea mtandaoni wenye akili walishajua kua upinzani ushapoteza mwelekeo mwisho wao 2020 jpm anachapa kazi nyie kutwa majungu
  2. R

    Wakenya watumia picha ya Will Smith akiwa Tanzania na kusema yupo Kenya

    Mimi namshauli mh raisi atengue waziri magembe kidogo Mzee kapwaya kwenye secta ya utalii atafute vijana wadogo ili kazi zisonge
  3. R

    Tahadhari kwa Mkuu wa Mkoa utakayeteuliwa

    Mmekalia wivu na umbea tu,kosa lake nin hadi unamwita mshamba makonda ataendelea kuwa mkuu Wa mkoa
  4. R

    Magufuli udumu

    Ila nashauli pajengwe chuo kikubwa ndani ya hospitali cha mambo ya afya ili kuufungua mji wa musoma katika biashara kwani mji umezorota hauendelei viwanda vyote vilikwisha kufa mfano mutex maisha magumu, Leo hii mji wa musoma unazidiwa hata na singida nafikili hata manyara ya juzi itaupita mkoa...
  5. R

    Magufuli udumu

    Mimi mwananchi wa musoma napongeza sana kwa hatua Kali ulizochukua kuindeleza hospitali ya kwangwa iliopo nje kidogo ya mji wa musoma,kwani tangia awamu ya mwl nyerere watu walipiga hela hospitali ikajengwa nusu tangia hapo ilibaki gofu kila mbuge aliekuja alikuja na mbwembwe nyingi kuwa...
  6. R

    Viwanda vikubwa 83 na vidogo 240 viko wapi huko kusini??

    Kweli kama mh,raisi anataka nchi isonge inabidi kiwanda cha mutex mwatex, sungura TeX na vingine vianze KAZI kwani vinatoa ajira nyingi kuanzia kwa mkulima hadi mtumishi wa kawaida, pia ajitahidi kuweka vyuo sehem mbalimbali hivo pia vinachangamsha mji na biashara pia, mfano hapa musoma mji...
  7. R

    Kenya has more dollar millionaires than Rwanda, Uganda and Tanzania combined

    Anaona akiongea kingeleza atakua tajiri mweusi ama ataingia mbinguni muache huyo limbukeni
  8. R

    Museveni atua dar ndani ya kenya airways huku kavalia bullet proof vest!

    Hakika mwaka huu Kenya wata loose vitu vingi
  9. R

    Mawazo ya kuoa mtumishi ni Unga wa maisha au kasumba mpya ya mjini

    Sipendi kitu hicho bora kuoa asie mtumishi ili mmoja abaki anashikilia biashara
  10. R

    Mhe. Rais, nchi sasa inapinda zaidi badala ya kunyooka

    Mtaongea sana lakini jpm ni very strategic man namkubal pamoja na mapunguf madogo, mfano kuna jengo hapa musoma la hospitali tangia mwalimu hadi Leo halijamalizika watu walikua wanapiga pesa tu lakini Leo linajengwa na TBA wakishirikiana na jkt kitu kinapanda muda si mrefu tutakua na refferal...
  11. R

    Kenya, Uganda and Rwanda agree on Joint Tourism

    Haha haha mapambano hayo yameanza
  12. R

    Kwa anayefahamu kuhusu kilimo cha Mkonge

    Hizo mashine zinagharim sh ngapi mkuu kwangu Mimi Wa mara
Back
Top Bottom