Kituo chako cha utafiti kiko mkoa gani? Mie wa Kwanza[/QUOTE
TUPO AGRICULTURE RESEARCH INSTITITE - MLINGANO-TANGA
YAA YUKO TANGA NA KWELI YEYE NDO MZALISHAJI MKUBWA LAKINIPIA YAPO MAKAMPUNI MENGINE KM SFI, KATANI LTD NK.Naskia wachina wanapiga sana pesa huko kilosa wanalima na Mo Dewji nae kayakamata mashamba kibao.
MKONGE TANZANIA UNASTAWI ZAIDI KATIKA MIKOA YA TANGA, MOROGORO, KILIMANJARO, SHINYANGA, GEITA MWANZA, MARA, PWANI LINDI NA SIMIYUUngeelezea unastaw maeneo yapi,pia soko lake lipo wapi, mfan mim nipo musom, nikilima nitauza wapi, pia mahitaji yapi yanatakiwa
ZIKO SEHEMU GANI MKUU TUKAKUPIGIE KAZI MAANA MUDA WA KUPANDA NDO HUUNimeshaandaa ekari 5
MORO WILAYA GANI MKUU UNAWEZA KULIMA TUMimi pia nina heka 30 Moro sijajua nilime nn mnaweza nishawish
Tanga wilaya ya MkingaMKONGE TANZANIA UNASTAWI ZAIDI KATIKA MIKOA YA TANGA, MOROGORO, KILIMANJARO, SHINYANGA, GEITA MWANZA, MARA, PWANI LINDI NA SIMIYU
Mimi pia nina nia ila pakuanzia, breakdown zipoje? Mwenye ABC atusaidie, naogopa kuanza nikaishia kulima mtaji ukaisha. Mimi nina shamba Tanga