Tahadhari kwa Mkuu wa Mkoa utakayeteuliwa

Mkuu wa mkoa ni Makonda hadi 2025.
Au hujasikia lile pepo lilivyosema mkuu haingiliki?
Ha ha ha! Lile pepo lilipiga kelele "Sitaki atembeeeeee; asitembeee! we Gwajima mbaya sana wewe; Gwajima mbaya sana ...". Sikutegemea pepo lisifu kazi ya uponyaji hususan kutimuliwa kwenye makao yao.
 
Mmekalia wivu na umbea tu,kosa lake nin hadi unamwita mshamba makonda ataendelea kuwa mkuu Wa mkoa
Nakumbuka kauli yake moja matata, ati anamwambia Mbowe Nitakufukuza ktk Mkoa Wangu,! Duh! Alitakiwa kwanza ajue historia za watu, Huyo babake na Mbowe alikuwa msaada mkubwa sana kwa Baba wa Taifa hili wakati wa harakati za kuondoa mkoloni, ati yeye wa Juzi tu! Kwa kweli kijana alivuka mipaka kwa dharau.
 
Naskia hata wakubwa zake hawanataarifa za kutoweka kwake... nimetoka kusoma The citizen sasahivi... sasa sijui ndo mambo ya balali tena!
 
Nakumbuka kauli yake moja matata, ati anamwambia Mbowe Nitakufukuza ktk Mkoa Wangu,! Duh! Alitakiwa kwanza ajue historia za watu, Huyo babake na Mbowe alikuwa msaada mkubwa sana kwa Baba wa Taifa hili wakati wa harakati za kuondoa mkoloni, ati yeye wa Juzi tu! Kwa kweli kijana alivuka mipaka kwa dharau.
Halafu kuna watu wanamtetea....aisee hii dunia huwezikosa wafuasi hata uwe mla nyeti za watu
 
Yeyote atakayeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam naomba awe makini sana. Cha kwanza kabisa, Kama ni Mshamba, Ushamba wake auache huko huko,

Usijaribu kufanya mambo kwa pupa. Na kabla ya kufanya chochote, kwanza Tengua amri zote zilizowekwa na na huyu Aliyetoroka,

Lazima uwe na uelewa mpana sana kuhusu biashara na Kama Huna hakika basi tafuta wataalam wanaojua ili wakushauri vizuri. Ikiwezekana tafuta washauri wazuri hata nje ya Tanzania

Lazima ujue historia. Hii itakusaidia sana kujua wenzako walipokosea ili wewe ufanye vizuri. Jali watu, weka mazingira rafiki ya kufanya biashara, watu wafanye biashara halali kwa uhuru, usiwe Kama Yule Mshamba anayewapangia watu wazima muda wa kulala na kuamka,

Tumia jeshi la polisi kwa manufaa na usalama wa Raia, usiwe Kama Yule Mshamba aliyetaka kulitumia kunyanyasa na kupiga watu kwa amri zake za kishamba, Kumbuka Serikali inategemea kodi za Raia, ni Jukumu lako kuhakikisha Raia na wafanyabiashara wanalindwa kwa kiwango cha Juu na Polisi, kwa sababu bila hao Raia kulipa kodi Polisi hawawezi kupata mishahara.

Hakikisha biashara Dar zinafanyika Muda wote, Usiku na Mchana, na kila anayefanya biashara Ana uhakika wa Ulinzi, polisi watoke vituoni wakae mitaani kuimarisha ulinzi

Una uwezo wa kuigeuza Dar ikafanana na Hong Kong kwa kipindi kifupi sana. Ila nakuomba kitu kimoja ukizingatie.USHAMBA WAKO UACHE HUKO HUKO
kwani bashite katoroka?
siyo kwamba ndo anakula bata?
au, kwani katenguliwa?
ebu nijuze
 
Unastahili tuzo ya wivu, roho mbaya, uchawi, uchagga na majungu. Hilo jungu ni la kiboroloni kabisa
 
Blind Carbon Copy to St. JPM

Yeyote atakayeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam naomba awe makini sana. Cha kwanza kabisa, Kama ni Mshamba, Ushamba wake auache huko huko,

Usijaribu kufanya mambo kwa pupa. Na kabla ya kufanya chochote, kwanza Tengua amri zote zilizowekwa na na huyu Aliyetoroka,

Lazima uwe na uelewa mpana sana kuhusu biashara na Kama Huna hakika basi tafuta wataalam wanaojua ili wakushauri vizuri. Ikiwezekana tafuta washauri wazuri hata nje ya Tanzania

Lazima ujue historia. Hii itakusaidia sana kujua wenzako walipokosea ili wewe ufanye vizuri. Jali watu, weka mazingira rafiki ya kufanya biashara, watu wafanye biashara halali kwa uhuru, usiwe Kama Yule Mshamba anayewapangia watu wazima muda wa kulala na kuamka,

Tumia jeshi la polisi kwa manufaa na usalama wa Raia, usiwe Kama Yule Mshamba aliyetaka kulitumia kunyanyasa na kupiga watu kwa amri zake za kishamba, Kumbuka Serikali inategemea kodi za Raia, ni Jukumu lako kuhakikisha Raia na wafanyabiashara wanalindwa kwa kiwango cha Juu na Polisi, kwa sababu bila hao Raia kulipa kodi Polisi hawawezi kupata mishahara.

Hakikisha biashara Dar zinafanyika Muda wote, Usiku na Mchana, na kila anayefanya biashara Ana uhakika wa Ulinzi, polisi watoke vituoni wakae mitaani kuimarisha ulinzi

Una uwezo wa kuigeuza Dar ikafanana na Hong Kong kwa kipindi kifupi sana. Ila nakuomba kitu kimoja ukizingatie.USHAMBA WAKO UACHE HUKO HUKO
 
lazima ajue jogoo wa koromije hawiki mjini,na ajue tamaduni zetu waswahili sio sawa na za koromije
 
Mimi zile amri zake tu za kila Siku, majivuno na Kudharau wenzake, kulinipa majibu ya Elimu yake, nilisubiri tu Muda Uamue.
kikiki ninataka hawa watu wawe kituoni mpaka uchunguzi ukamilike ooh mara watu wakija dar kutoka mikoani nitawarudisha na ndala zao............. utajua tuu jitu halijaendashule sawasawaa hata elimu tu ya dunia halina ubaguzi
 
Comredy makonda ataendelea kuongoza jj pendwa kama inakukela hata kigoma ni mkoan nenda
 
Mkuu wa mkoa ni Makonda hadi 2025.
Au hujasikia lile pepo lilivyosema mkuu haingiliki?
Ona aina ya mkuu was mkoa mliyekuwa naye anaabudu mapepo. Itakuwa kazi kubwa kuileta Tanzania ya viwanda. Mkuu was mkoa mwenye mashetani! Choka mbaya.
 
Back
Top Bottom