kivava
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 5,772
- 4,932
Una maana Magufuli alikuwa na full information juu ya mwendokasi wa mv.Magumashi na alikuwa na full information kuwa wale wachina wanavua samaki kwenye bahari ya Tanzania?Tatzo kubwa ulilo nalo ni UGONJWA ambao unakukabili kwa sasa....Unaoitwa UKOVI.....(ukosefu wa viroba)....Hivi kwa akili yako kabsa kati ya wewe na Magufuli nani mwenye full information na nchi hii??....Yeye si mpuuzi kusema hivyo
Tafuta tiba ya Ubashite