Recent content by rununu

  1. R

    Padri Anatoly Salawa afumaniwa akifanya ngono ndani ya gari

    Kanisa linaongozwa na Mungu, kwa hiyo km alikubali wito wa kutooa amevunja makubaliaono yake na Mungu na wala c kanisa katoliki. kimsingi dhambi inawaathiri wanadamu na padri c Mungu ila ni mwanadamu.
  2. R

    Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

    Waache wakristo na imani yao kila dini ina mafundisho potofu juu ya dini nyingine kwa hiyo kila MTU ashike chake ucwapotoshe watu kwa mafundisho yako, kama ni mbinguni au peponi itajulikana ck ya mwisho, binafsi cjaona dini yoyote yenye maana zaidi ya upotoshaji tu
  3. R

    Jifunze English tenses kwa Kiswahili

    Hayo no makosa ya kawaida ktk kiingereza, common mistakes, kugundua hilo linahitaji kuwa mfuatiliaji wa tenses
  4. R

    Nini maana ya neno Kuntu?

    tafsiri uliyoitoa mh ndiyo sahihi zaidi, vema
  5. R

    Ruwaza

    km sikosei ruwaza ndo kile waingereza wakiitacho pattern
  6. R

    Historia ya Kiswahili

    kuna baàdhi ya maeneo ya kongo yanatumia lugha ya kisw
  7. R

    Historia ya Kiswahili

    lugha ya kisw tamu na inaleta hamu na utamu wa kuongea
  8. R

    Udini sasa mpaka kwenye Mapenzi

    tatizo mapenzi sometimes huwa yanakuwa bubu, hayaangalii iman
  9. R

    Udini sasa mpaka kwenye Mapenzi

    ni kwel ndugu, kuna haja ya serikali kuangalia hili suala. mbali na serikali na sisi tusikubali kupandikizwa chuki za kidini kwan zitatuweka pabaya na hatutaweza kufanya mambo yetu kwa uhuru km vita itatokea.sidhan km kuna mwislam au mkristo anayependa vurugu.
  10. R

    Kuna maneno ya kiswahiki yananitatiza wanalugha nisaidieni

    kwa maneno hayo sioni ubaya wowote ila tu watu wamepanua maana na maana zipo katika fikra zao tu, wala hakuna ubaya wowote, ashakum/hashakum maana yake ni, "niwie radhi kwa nitakayosema"
  11. R

    Madhumuni na Dhumuni.

    kiswahili fasaha ni "madhumuni" na siyo dhumuni hayo ni makosa ya mazoea tu
  12. R

    Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

    aisee tuwe tunabadilishana mawazo jinsi ya kutumia mtandao kwa namna hiyo, haki ya mungu nimeipenda unaweza kunisaidia ili nami niwe naweka vitu vya msingi nilivyo navyo??????????????????, naomba kuwasilisha
  13. R

    man sita... Sory, man u!

    Arsenane sory Arsenal zinawauma
  14. R

    Neno lipi ni kiswahi fasaha

    context ndio nini????????????????
  15. R

    Niambieni jamani hivi..............

    "Nyimbo hii itachangia kuharibu kiswahili" naomba mniambie kama ni sahihi kutumia "Nyimbo" katika umoja maana The boss ametumia nyimbo katika uwingi wakati wa kuuelezea wimbo wa hakunaga wa sumalee kwamba utachangia kuharibu lugha ya kiswahili, kwa maelezo niliyoyaweka katika alama za fungua na...
Back
Top Bottom