Recent content by ROMBIANI

  1. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mungu nijalie demu mpenda pesa, kila siku nipigane kuwa Bakhresa

    hii kaliiiiiiiiiiiiiiiiii
  2. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliuwa kwa kukusudia-1

    Endelea bwana yani umenikata stimu.
  3. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu yake kanipenda baada ya mdogo wake kunitema.

    Finya mjomba usizubae.
  4. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwisho wa mapenzi

    Nimeipenda hiyo imenitia moyo.
  5. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa Mpenzi wangu

    Soma acha mapenzi.............
  6. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni neno gani uliwahi kuambiwa na mpenzi wako likakutouch moyoni na huwezi kulisahau?

    Sito sahau alivyo niambia nitkupnda kwa shida na rha mwanaume mwengine sitamani wewe ndio chaguo langu, ila mwisho wa siku kawekwa ndani na mtu mwingine nimebaki kama nilvyo.
  7. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hamuwezi kuamini jamani...

    Duu hii kali mi cwezi kbsa nlale mpk asbhi hlfu jnci tofauti bila naniiiiiiiiiiiiii umekwisha mjmba.
  8. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amenisaliti anang'ang'ania vitu vyangu

    We mwachie tu mungu ata kubariki utapata nyingine na utampata mwenye mapenzi ya kweli kwako.
  9. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania wachaga mbona mnawalazimisha dada zetu mliowaoa kunywa damu

    Uwa atumlazimishi mtu kunywa damu ila sisi tnapnda tu wenyewe coz tuna dumisha mila na kuhusu dada yako kunywa mbege sio mbaya coz ni pombe ya asili yetu halafu ni wa kwetu huyo sio wenu tena mkeku..............:A S-baby::music:(KISUSIO KITAMU SNAAAAA)
  10. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pete ya uchumba

    Huyo mwanamke amfai kabisa.
  11. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi nilivyoachana nae!?

    Temana nae huyo akufai kabisa ata kuletea maradhi huyo.
  12. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bibi Kanikataza! 2

    Una tukata stimu kila saa itaendelea.
  13. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kukata kiuno hii ikojee?

    Inawezekana wewe ujui kukata kiuno ndio maana unaona ana kushinda pole sna.
  14. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu demu vipi ?

    Tc itc to mach..............
  15. ROMBIANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ana mtafuta baba yake aitwae fredrick palanjo

    Hakuna bifu lolote kwanini nifanye bifu ndugu yangu nitapata faida gani?
Back
Top Bottom