Ana mtafuta baba yake aitwae fredrick palanjo

Ana mtafuta baba yake aitwae fredrick palanjo

ROMBIANI

Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
35
Reaction score
7
Tangawonders Adventure Tours & safari.
inawalika ziara kabambe itakayo fanyika kutoka Tanga mjini hadi pangani,inahusu utamaduni na historia za kale miji ya pwani.
idhimisho letu litaishia Tanga mjini kuhudhuria kwako ndio maendeleo ya Taifa la kesho
 
ndugu yako amezaliwa 2009... ana miaka 4
......unasema ukweli?
 
miaka 4 anajua majina ya mama yake na baba yake pia anajua wanaishi tabata! pia anajua ni wa familia ya askofu! au kuna bifu unalileta humu ki aina?
 
namba zako za simu weka hadharani ili wanaomjua wakipigie
 
Hakuna bifu lolote kwanini nifanye bifu ndugu yangu nitapata faida gani?
 
hahahaaaa jf ni kokoro,kila aina za akili zimo humu.
 
Back
Top Bottom