MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
- Thread starter
- #221
Si mpaka nikubali..!!! na hii dhana niliyonayo ya kuwa wachaga wanalalaga kama gogo ndo kabisaaaaaa..... Nilishakuwa na mmoja, alilala kama kafa hadi nikaogopa..... Eti baada kumaliza akaniambia ulichotaka si umepata, haya mi naodoka sasa... Yaani wakati huo mi ndo nasikilizia mkojo wa mwisho mwisho... Khaaaaaa
Ile nyie mnaotaka mashindano huwaga mnajiondowaga 'uchaga' kwa muda ili tu kuonyesha hamna ugogo, ila mkipigishwa kwata ndefu huwa hamkawii kuanza kuonyesha uchaga, maana mnakuwaga hoi bin taabani
NB: labda kama ni mchaga uliyekulia umakondeni
hey u men!!!!!!!
Nadhan hujakutana na kichwa cha kichaga wew tatizo bado mko na perspectives za analojia hebu badilikeni mambo yamechange saiv