Ndugu wana Jf:
Nisiwapotezee muda.Kwa wale waliofuatilia kisa hiki sehemu ya 1,naendelea...
Habari za mtoto kuvutwa kitovu ziliniumiza sana.Sikutaka kuamini km huyo dada alikuwa na kinyongo kiasi cha kufikia maamuz km hayo.
Mazingira kwa namna moja ama nyingine yaliniweka njia panda,nikaanza kuunganisha matukio.Kwani siku ya tukio wkt wa mazishi mama yake mpenz aligoma kushiriki mazishi.Akidai kilichomuua mtoto ni(MAMBA) kwa kilugha chao it was something to do with witch craft.
Familia niliyolelewa kwa bahati nzuri au mbaya,hatu amin ktk uchawi.Hivyo niliamua kupuuza na kusonga mbele.
Niliona bora mpenz wangu nimtaftie chuo.Ili aondokane na mazingira ya sehemu tunapoishi.Partly kifo cha baba yake na partly kifo cha mtoto aliyekuwa anategemea km kiunganishi cha pande zote vilimchanganya akili sana
Mungu alitusaidia.Mpenz wangu akapata chuo cha ualimu cha serikali.Nilimgharamia mahitaji yote kwakuwa ndugu zake walimtenga.Hivyo niliona msaada wake ulibaki kwangu.
Alienda chuo na kuna wakati furan alirudi kuchukua ATM Card maana nilimfungulia akaunti ili kidogo nikipatacho niwe nagawana nae.Kama mnavyojua chuo kuna changamoto nyingi hasa mwanafunzi akiwa katika matatizo ya kifedha.
Alini miss sana pia nili miss sana.Nilimuomba tutumie protections lkn alikataa.Huku akinituhumu uaminifu umepungua.Kwann nitumie kinga baada ya yy kwenda chuo.Nilimjibu sababu kubwa ilikuwa ni kuepukana na mimba.Akanihakikishia siku zake ni safe no need to worry!
Baada ya mwez akaniambia anahisi mjamzito.Sikushangaa.Despite nilishtuka km mnavyojua kulea m/ke /ujauzito si kazi ndogo.Ni swala la budget.
Nilikuwa sina namna nyingine.Kwa dini yangu mtoto ni zawadi kutoka kwa mwenyezi mungu.Nilikuwa nimepata nafasi ya kujiendeleza mwaka wa masomo 2013/14 pia kibali cha mkurugenzi.Nikaamua ku postpone ili niweze kumudu gharama za kulea ujauzito/mpenz wangu.
Tulikubaliana na mpenz wangu wote tu postpone masomo.Baada ya muda aliniandikia ujumbe mfupi kuwa nimsamehe.Hayuko tayari ku postpone masomo wala kuzaa...
Part3 itakuwa mwisho...