Hamuwezi kuamini jamani...

Hamuwezi kuamini jamani...

kwako huna kideo? eti akaniwashia kideo kuanzia saa 10 mpaka saa 2 usiku! ulivyoona kideo kimewashwa ukajua umewashiwa wewe, na kwa vile kwako hakipo ukakitumbulia macho hata kurudi kwako hukumbuki, ulitaka akufukuze, kwanza shukru huyo dada ni msitaraabu ningekuwa mimi nakuambia toka nikusindikize unatoka tu nafunga malango nalala utajua mwenyewe uende au unilinde hapo nje mpaka asubuhi. Vijana wengine ziro brain kabisa unaenda kwa mtu unakaa mpaka ufukuzwe, eti vijana hawa ndo taifa la kesho, sipati picha hivi kesho taifa litakuwaje! natamani ungenisindikiza mimi ungelijua jiji

Hapo umesema dada yangu. Halafu eti kaugopa kuna giza!!!! Aibu gani hii nyie watoto wenye uume mnayotutia kaka zenu?? Aghhhh
 
Yaani sijui kwa nini bahati kama hizi huwa sizipati mimi?
Duhhhh aiseeee ningeshika japo ziwa usiku tu.
Nipe namba yake
 
Inawezekana mimi mwenyewe tarehe 2 mwezi huu nilikuwa kwenye situation kama yako.

Nilitoka dar saa sita mchana na gari la upendo kwenda Iringa. Nilifika Iringa mjini saa tatu usiku. Nilikuwa na lengo la kuunganisha safari ili kufika Njombe siku hiyo ya tarehe 2 ili tarehe 3 niwahi appointment ya mhimu katika maisha ya utafutaji. Nilipofika Iring gari za kwenda njombe hazikuwepo nikampigia simu akaja kunipokea. Ulipofika mda wa kulala nikamuuliza mimi nitalala wapi akaniambia tutalala wote. Ikawa hivyo tukalala pamoja kila mtu na shuka lake mpaka asubuhi.
 
Duu hii kali mi cwezi kbsa nlale mpk asbhi hlfu jnci tofauti bila naniiiiiiiiiiiiii umekwisha mjmba.
 
Nilitoka dar saa sita mchana na gari la upendo kwenda Iringa. Nilifika Iringa mjini saa tatu usiku. Nilikuwa na lengo la kuunganisha safari ili kufika Njombe siku hiyo ya tarehe 2 ili tarehe 3 niwahi appointment ya mhimu katika maisha ya utafutaji. Nilipofika Iring gari za kwenda njombe hazikuwepo nikampigia simu akaja kunipokea. Ulipofika mda wa kulala nikamuuliza mimi nitalala wapi akaniambia tutalala wote. Ikawa hivyo tukalala pamoja kila mtu na shuka lake mpaka asubuhi.

kumbe inawezekana da kuna watu wabishi kweli apa
 
hyo kawaida sana jaman tatizo watu 2shakuwa na mawazo potofu ktk swala hilo

ishu ni kwamba kama wote mlikuwa hamna hisia zozote za kimapenz hakuna shda bt kama mlikuwa mnatamaniana huhu uuu hapo lazma kipigwe
 
huko sahih kabisa
 
Mmhhh hayaa banaa na siku nyingine jaribu tenaa
 
hyo kawaida sana jaman tatizo watu 2shakuwa na mawazo potofu ktk swala hilo

ishu ni kwamba kama wote mlikuwa hamna hisia zozote za kimapenz hakuna shda bt kama mlikuwa mnatamaniana huhu uuu hapo lazma kipigwe
tatizo lako sio mwanaume ungekuwa mwanaume usingesema hivyo,huyo jamaa anahitaji pongezi za hali ya juu
 
Ha ha haaaaaa wewe utakuwa umekula mzigo halafu unakuja hapa kutuzuga .... .... .... ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom