Recent content by Rofa

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    ____________________________
  2. R

    JamiiForums Tanzania Maandishi haya yanaitaji akili y'all ziada

    Anaandika Askofu Benson Bagonza Jizoeze kuvuta pumzi na kufikiri. Hii itakusaidia kujisikiliza kabla hujategemea kusikilizwa na unaowahutubia. Uwezo wa kujisikiliza hukuwezesha kutambua kweli hizi: 1. Haki na madaraka ya kumpiga mtu haimwondelei mtu huyo haki ya kulia. Kwa hiyo kumchapa mtu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Peace is possible only by fighting

    Msemo kutoka Korea ya Kasikazini,kuna ukweli wowote? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Nimesikiliza wimbo huo sijaelewa kitu zaidi ya picha y mama na waliovaa sanda. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanroad wanaweka vibao vya 50k/h kila eneo na kwanini serika haiondoi matuta barabarani?

    Nilimsikia juzi boss wa Tanroad akisema "Hakuna kitu rahisi kama kutengeneza road signs kwenye tenda tunawaambia wakandarasi wajaze kibao road sign moja Tsh 500,000 akimika 20 Fedha tunapata. Kwahiyo signs hizi hata kama ni km 5 tunaweka za kutosha. Kwaupande wa matuta Kuna habari zinadai...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Tutafakari hivi polisi wetu hasa trafiki wanaonaje raia.ukiendesha gari faini.Kuna haja yakilifanyia kazi suala ili.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nimetonywa kuwa kila Tsh 30,000. anazochukua traffic anapewa Tsh 7,000

    Nilikuwa naongea na mtu wangu wa ndani,akanimbia kila kosa traffic anapewa 7,000.Ndiyo maana traffic wanapiga faini kwa kwenda mbele.Ninachoofia jamii ikichoka ,moto utakaolipuka kuzima hakutakuwepo.Amani tunayoihubiri itageuka Somalia au Libya.Mungu atupe maisha naona siku zinakaribia
  8. R

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Hakuna kiumbe kinaitwa Mungu wala Shetani,hizo ni mbwembwe za matapeli.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kubadilisha gwalide la Tanzania

    Tukiangalia parade za Korea kasikazini utapenda.Ukiangalia wanajeshi utatamani. Mimi kwa miaka mingi sioni mapya kwenye jeshi lenu.Gwalide ni lile la mwaka 47,kuvunja matofari ni kitu cha kawaida.Au macho yangu hayaoni
  10. R

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania ni taxation economy au production economy?

    Kama kila idara ya serikali ni kukusanya fedha, polisi barabarani wako tayari kusababisha ajali lakini wakusanye fedha. Sasa uchumi wa Tz ni upi?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hivi polisi ww Tanzania ni wakusanya mapato au walinzi wa raia

    Mimi sijui kama kuna umuhimu wa kuwa na polisi,kwa sababu ukifikisha shauri polisi umeisha.Trafiki wako barabarani kunyanyasa raia kwa kulipa faini za ujinga.Hivi polisi wanajisikiaje kwenye dunia,maana watanzania nu waoga na mbumbumbu
  12. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Getrude Rwakatare ateuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum nafasi ya Sofia Simba

    Huyu mama ni jini,ogopa awa watu wa makanisa,ni wapuliazi kwa kwenda mbele.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbwewe Tanga: Askari wapoteza Maisha kwenye ajali ya gari dogo na lori Mbwewe

    Polisi wa Tanzania wana roho mbaya sana,trafic kazi kuchukua fedha zetu mpaka tuwe mashetani.Subiri naona haya matukio ni kipele kinaanza kukunwa na Mungu
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika mkia viwango vya furaha duniani

    Ukiendesha gari unapigwa faini ,kila eneo ni 50km/hr ,Ukipanda basi mwendo wa kobe.Kila sehemu asikari anauliza stika.Furaha itatoka wapi?
Back
Top Bottom