Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

Yaan Mimi MTU akiletaga thread yenye unafiki hasa na hayo matimu hata nyimbo huwa sisikilizi....bora nikasikilize wanigeria au music za mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiusikiliza na kuuchambua vizuri kifasihi wimbo mpya wa Roma Mkatoliki utapata jibu kuwa ni akina nani waliomteka na kwanini. Ni kweli kuwa Mungu wa Paulo ndiye Mungu wa John na Daud. Alisema atapatikana kabla ya Jumapili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo atapotezwa kabisa si alishwindwa kuongea mbele ya mic huyo.asiche na dunia
 
Aiseee ukiwa msanii raha sana ujumbe umefika
 
Hakuna kitu nimeusikiliza huo wimbo mara 6 hakuna sehemu amemtaja aliyemteka zaidi ya kuwazodoa waliokuwa wanasema ilikuwa Noah or Wajeda...
Hana jeuri ya kuwataja waliomteka ana tafuta huruma tuu ya wananchi...
 
Usanii mtupu.Anatakiwa aseme ni nani walimteka na walimwambia nini,mambo ya kuimba nyimbo wengine hatufatilii huko
Kiki na uzuzu kabisa, yeye angesema wazi tu, haya ya mafumbo na sijuwi kumtumia mke wake na nini, ni kiki tu auze nyimbo zake, nyambafu kabisa...
 
hivi huyu mtu anaipenda familia yake..?
 
Back
Top Bottom