Recent content by rodgence kagaba

  1. rodgence kagaba

    JamiiForums Tanzania Nibangue

    Hahahahah ni shidaaa
  2. rodgence kagaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini hatupendi watumishi wetu wa majumbani waanzishe familia zao?

    Ila wengi siku izi wanafanya mambo make mama wa siku izi walivo wazembe ata watakuw wanawaambia ma house girl wawasaidie kulala na waume zaoo
  3. rodgence kagaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini hatupendi watumishi wetu wa majumbani waanzishe familia zao?

    Dah yan cku izi unakuta baba mwenye nyumba kamuoa kijakazi wake au mama mwenye nyumba kaolew ka kijakazi so inakuwa ngumu kumruhusu aende make huduma itakata kwa mwajili
  4. rodgence kagaba

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumuita mtu bar alafu yeye akulipie vinywaji?

    Ingebidi umfanyie mamb
  5. rodgence kagaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USAHIHI NI UPI

    Ok kwanza itabidi tujue chanzo cha ilo Neno ndo tutapata maana yake hapa kila mtu atakujibu kulingana na concept yake
  6. rodgence kagaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Nimefanya mapenzi na mwanamke mwenye UKIMWI

    No hapo umetoboa ila iki react inabidi upambane na hali yko
  7. rodgence kagaba

    JamiiForums Tanzania Maumivu kwenye titi (ziwa) la upande wa kulia

    Check for breast cancer
  8. rodgence kagaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USAHIHI NI UPI

    Neno ka kihenga ilo ilimradi limetamkwa haliwezi kuja kwenye mtihan
  9. rodgence kagaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakaka hivi wadada tunapokuja kwenu alafu mnatuacha tunaondoka hivihivi huwa mnamaana gani?

    Dah wadada wengine unafanya ivo anakugandia mazimaa
  10. rodgence kagaba

    JamiiForums Tanzania Shule ya advance form five na six private

    Salam jaman husika na kichwa cha habari hapo juu natafuta shule ya advance mchepuo wa PCB mikoa ya morogoro Arusha Tanga na moshi please mwenye information yoyote nichek Mobile: 0769500302 E-mail : rodgencekagaba@yahoo.com Natumain mtanisaidia Sent using Jamii Forums mobile app
  11. rodgence kagaba

    JamiiForums Tanzania Back to reality

    01.[emoji117] Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school. 02.[emoji117] Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza. 03.[emoji117] Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia Siasa na kuwaongoza...
  12. rodgence kagaba

    JamiiForums Tanzania Tuliozaliwa miaka ya 90 njoeni tujifaliji

    Tupo wa 94 ndio Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  13. rodgence kagaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zijue njia rahisi za kujua kama una nguvu za Kiume au unagongesha tu Besela

    Ilo la Maji ni uongo kisayanc ni tatu, iweje Mara tatu tena? Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
  14. rodgence kagaba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

    aaah sawa asante wale wote waliochangia hii post ila nmeisha jua maana ya vpn asanten
Back
Top Bottom