Kwanini hatupendi watumishi wetu wa majumbani waanzishe familia zao?

agata edward

JF-Expert Member
Nov 25, 2014
6,641
9,391
Nimeshindwa kupata majibu kwanini watumishi wa majumbani wanapoamua kuanza maisha yao ya ndoa inakuwa ni vita na waajiri wao?

Huwa wanawapunguzia nini?
 
nimeshindwa kupata Majibu kwanini watumishi wa majumbani wanapoamua kuanza Maisha Yao ya ndoa inakuwa i vita na waajili wao..? huwa wanawapunguzia Nini?.
Wanawapa kazi ya kutafuta Watumishi wengine,
Lakini Pia Ma boss wao hua wanawaza kua pengine huyo anaeenda kua Mume wa huyo Mtumish wake kuna privileges alikua akipata kupitia hela ambazo wao walikua wakitoa nyumbani
 
Wanawapa kazi ya kutafuta Watumishi wengine,
Lakini Pia Ma boss wao hua wanawaza kua pengine huyo anaeenda kua Mume wa huyo Mtumish wake kuna privileges alikua akipata kupitia hela ambazo wao walikua wakitoa nyumbani
kwahiyo wao hawana haki ya kuanzisha familia? nilishuhudia mama mmoja anamwambia kijakazi wake yeye ni wakutumwa tu asitegemee kuwa na kitu kingine maishani mwake.
 
Ila wengi siku izi wanafanya mambo make mama wa siku izi walivo wazembe ata watakuw wanawaambia ma house girl wawasaidie kulala na waume zaoo
 
Daaahhh kweli mkuuu....yaaaan wenye nyumba wengi Mara nyingi hawataki housemaids wao wawe ma familia...sasa usiombe km ni housegirl achumbiwe na jamaa mtanashati ,HB ,,anamawe ..mamaaaaaaaaaaweeeee ...mama wanyumba yupo tayar aliwe yeye lkn Mdada wawatu asipate.
 
baadhi yao ni kweli wapo ivo nafikiri sababu ni kutaka kuwa control kila kitu, wanasahau kuwa maisha tu ndo yamewafanya wawe hapo.
 
Inawezekana, ni hulka na tabia ya mtu asiyekuwa na upendo, kuna dada tulikuwa nae nyumbani kamlea mdogo wangu, alichumbiwa na na kuolewa akiwa home, yeye na familia yake huwa wanakuja likizo nyumbani. Kuna mwingine yuko home sasa, anafanya kazi zake mapema, anaenda shule pale Veta. Nimejifunza sana kwa Mama yangu jinsi anavyo wa-treat wadada wa kazi.
 
Nadhani ni kutokuwa na akili ya kujua kwamba yule ni mwanamke aliyekamilika na inatakiwa afikie hatua fulani ambayo na yeye anahitaji kuwa na familia yake.
 
Back
Top Bottom