Japo ni kweli utapeli upo ila jiongeze pale unapoona tangazo la kazi

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,809
Siku hizi ukiona tangazo la kazi unaanza kuwa na wasiwasi kwanza kama ni kweli au ni utapeli, hiyo imemtokea jamaa yangu mmoja hapa anajuta, kuna tangazo la kazi liliwekwa kwenye group la WhatsApp, wengi wakasita kuomba kila mtu akasema ni utapeli but akatokea mshikaji mmoja kufuatilia kumbe ni kweli jamaa kapata shavu.

So ukiona tangazo usidharau moja kwa moja kwamba ni utapeli, fanya uchunguzi kidogo kuhusu hilo tangazo ili ujiridhishe..

Kila la heri.
 
Siku hizi ukiona tangazo la kazi unaanza kuwa na wasiwasi kwanza kama ni kw ni utapeli, hiyo imemtokea jamaa yangu mmoja hapa anajuta, kuna tangazo la kazi liliwekwa kwenye group la WhatsApp, wengi wakasita kuomba kila mtu akasema ni utapeli but akatokea mshikaji mmoja kufuatilia kumbe ni kweli jamaa kapata shavu.

So ukiona tangazo usidharau moja kwa moja kwamba ni utapeli, fanya uchunguzi kidogo kuhusu hilo tangazo ili ujiridhishe..

Kila la heri.
Yah! Lakini kuna matangazo ya kubandikwa yale watu wanaibiwa sana huwa wanayatumia sana mashirika ya Fast jet na Cameil oil uongo mtupu kuna jamaa angu alitoa laki kizembe wakamla
 
Back
Top Bottom