Kivipi ulichokakutawaliwa Mkuu..?? Ninampango wa kuinunua hiyo iPhone 6s plus, Naomba kujua nn ulikichoka samahan sana kwa usumbufu..
Post sent using JamiiForums mobile app
Ndani ya Marekani hao drug dealers wapo ila wasichotakakuona ni drug dealers wa nje kutakakulidhibiti soko lao. Na wao ndio wanaofadhili izo operation za kukamatwa au kuuwawa kwa wenzao wa Latin America. Refer to Ignacio Nacho wa SINALOA CARTEL..
Sijui kimetokea nn au ni kwangu tuu,
Kila nikitafuta makala kuhusu #THE KING MAKER, sinaninachokipata kwani hata makala ya sehemu ya kwanza, ya pili na ya tatu sizipati.. #MKUU THE BOLD UPO..??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.