Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,486
- 2,634
...yani na ukubwa wote wa Tabata bar za ukweli 5 tu,
.ama list inaendelea
.ama list inaendelea
Yaani hizo bar tatu sijui nne ndio kunatisha?!! Njoo George and Dragon, Didi's, Jacky's, Samaki Samaki, Elements, Wantashi, Club Next Door uone kunavyojaa kuanzia saa saba usiku....huo ni mtaa mmoja!Huo ndio ukweli, tabata kunatisha kwa sehemu za starehe.
Hatukuzoea hivyo mkuu.Yaani hizo bar tatu sijui nne ndio kunatisha?!! Njoo George and Dragon, Didi's, Jacky's, Samaki Samaki, Elements, Wantashi, Club Next Door uone kunavyojaa kuanzia saa saba usiku....huo ni mtaa mmoja!
Kweli kabisa... Maeneo hayo hatari sana...Yaani hizo bar tatu sijui nne ndio kunatisha?!! Njoo George and Dragon, Didi's, Jacky's, Samaki Samaki, Elements, Wantashi, Club Next Door uone kunavyojaa kuanzia saa saba usiku....huo ni mtaa mmoja!
alikutajia bei gani????Jana nilikuwa ile club karibu na fantassy kituo cha daladala segerea, nusura nimbake demu fulani, yaani wapo uchi uchi kwa 75 %, naomba uchi anataja dau kubwaa mimi mfukoni ni elfu 25 tu. Nilipatwa na hasira
We acha tu, utadhani ina tv ndani!! Uchumi huu eti elfu 50! Ila ni mzuri balaa. Ok nikapona kwa mwenzie kwa 15 elfu saaafialikutajia bei gani????
na unazijua kweli kweli mpaka majina hongera mkuuYaani hizo bar tatu sijui nne ndio kunatisha?!! Njoo George and Dragon, Didi's, Jacky's, Samaki Samaki, Elements, Wantashi, Club Next Door uone kunavyojaa kuanzia saa saba usiku....huo ni mtaa mmoja!
Kama unatoka inabidi ujue sehemu za kwenda.na unazijua kweli kweli mpaka majina hongera mkuu
Vipi unataka kutoa competitive rate?alikutajia bei gani????
haaaaaa elfu 50 uchumi umebana... ukinunua kama hivyo lazima condom is it?? au unajilipua tuWe acha tu, utadhani ina tv ndani!! Uchumi huu eti elfu 50! Ila ni mzuri balaa. Ok nikapona kwa mwenzie kwa 15 elfu saaafi
yaani unatoka nyumbani kabisa umeshapanga bar ya kwenda kulewa.....huna familia?Kama unatoka inabidi ujue sehemu za kwenda.
je vipi nyuma alijazia?? Ila hamsin siyo mbaya ni reasonable. Ni kutandaza miti tu sasa hivi Iyo ndiyo starehe ya pekee!We acha tu, utadhani ina tv ndani!! Uchumi huu eti elfu 50! Ila ni mzuri balaa. Ok nikapona kwa mwenzie kwa 15 elfu saaafi
Kwakweli tabata tupo juu siku hizi, ila sio wote wanaojaa kwetu pazuri, the gret, toroka uje au 40 40 ni wakazi wa tabataHii inaitwa Mwana ukome..Tabata mmetisha..mnapata hela wapi wenzetu..bar zimetapika..40/40..pale Tabata bima..njoo the great park pale barakuda ni nyokooo..hata sehem ya kisigino hakuna.
Pita kwetu pazuri..sisimizi hapati nafasi hilo nyomi lake....nenda STK Kinyerezi.. Aibuu...pita makhirikhiri segerea hapafai..nyomi sijapata kuona tangu tunapata Uhuru
Kulikoni wenzetu hii hali ngumu kwenu haipo..tunashukuru mungu wingi wenu mnaturahishia sie kupata midudu washa yetu(Dada poa)maana hao wametapika sasa huku Tabata.
Kijana hamia Tabata. Coz ndo habari ya mjini..maisha rahisi bar zinajaa
Kinondoni jesinza sasa imefunikwa na tabata , eeh sasa tabata ndiyo habari ya dar es salaam.
Tena kwa utam ule ule maramamaeeeWe acha tu, utadhani ina tv ndani!! Uchumi huu eti elfu 50! Ila ni mzuri balaa. Ok nikapona kwa mwenzie kwa 15 elfu saaafi
Na baada ya miezi mitatu aende kupima ngwengwe kabisa maana kuna vingine vinapenya hata kwenye condom.haaaaaa elfu 50 uchumi umebana... ukinunua kama hivyo lazima condom is it?? au unajilipua tu