Nawashangaa nyie mnaolaumu wananchi kwa mapungufu ya jeshi. Kwanza ni wakati huu Wa polis I jamii ndiyo matatizo hay a yameongezeka. Pili jambo hili sio tukio jipya. He Vito vimejipangaje kujilinda? He Luna hatua zozote mahususi zilichukuliwa na what went wrong. Inamaana kama Hanna ushirikiano...
Tumesubiri muda mrefu, tumeinvest kwenye ving'amuzi, tumelipia bill za umeme. Sisi ni wateja na tunastahili huduma stahiki ikiwemo taarifa za wakati. Tumetenga muda mwingi na kuacha shughuli nyingi ikiwemo mapumziko. Kuja kukatishwa mpira unapoanza.
Kwakweli Tanesco hawajali lolote lakini kwa...
Habari mbaya, Mungu aepushie mbali. Mungu amsaidie huyu mama yuko katika wakati mgumu! Walakini kitendo cha kuandika mambo binafsi ya huyu binti hususani vipimo na majibu ya Daktari si haki kabisa, wala hayamsaidii kupata haki yake. Hata kama amefanyiwa tendo baya haki yake ya privacy ni muhimu...
Jamani!!!
Tutafika wapi kwa staili hii.
Watu wamezoea mno kuongea kwa vijembe. Ushahidi umewekwa wazi, toa kama unao wa kupinga na ujenge hoja yako. Kama huna kubali na kuangalia namna ya kurekebisha. This is not about chama chochote. It is about participation to nation's future. It is about...
Habari wanajamvi
Kwanza kuiita hii rasimu ya "Kina warioba" ni dharau kwa watanzania ambao ndiyo waliotoa maoni yaliyoifanya rasimu iliyopo.
Lakini pia kutafsiri sheria kiasi cha kuona kuwa bunge la katiba halina muunganiko na tume ya katiba ni ufinyu wa makusudi wa mtazamo wa mchakato wa...
Hoja hii ni sahihi hasa kwa kuzingatia mambo mawili. Kwanza: Ni umuhimu wa consensus katika mchakato wa Katiba. Katiba hii ni ya umma wa Tanzania hivyo ni chombo ambacho kinahitaji kutengenezwa kwa makubaliano. Sasa haiwezekani katiba itokane na consensus kama wananchi hawajakubaliana juu ya...
Hapa ndipo panahitajika uzalendo.
Tanzania inahaki na wajibu kwa kujilinda na kujitetea. Inahaki ya kutumia vyombo vyake kumfuatilia mtu yoyote anayehusika au kuonekana kuhusika na usalama wa taifa lake. Inahaki ya kuchukua hatua muhimu na hata kujiridhisha juu ya mtu yoyote yule awe Mwarabu...
Our attention is all towards Dr. Ulimboka as a person. We care much less now about what you are thinking "enermy", no matter what your intentions were he is back. It does not matter you injured him he is recoverd and in good shape, whether you wanted to kill him, he is alive. As dark as your...
Jamani tusiongee habari ya manun'guniko tujadili hatua tutakazoweza kuwachukulia Star times. Swala ni kuwa wanatakiwa kurudisha fedha za watu na fidia.
Mimi niko tayari kuchukua hatua ninafikiri nahitaji mambo mawili.
1. Mwanasheria aliyetayari kutoa msaada wa kisheria
2. Waathirika wengine...
Hali ya huduma za Afya kwa kweli inazidi kuwa mbaya wakati ambao watu toka kila upande wameweza kutoa maoni yao bila mafanikio. Kwa kuwa Serikali imeweka wazi uamuzi wake ambao haujaweza kubadili msimamo wa wataalamu hawa muhimu naona tumefikia mahali pa kushindana nguvu. Swali la msingi...
Inatokea mara kwa mara mtu unapata usumbufu hasa airport ya Mwanza kwa makosa ya airliner. Leo nimepata uzoefu ambao kwa kweli umeniudhi sana na nafikiri kunahaja ya kuchukua hatua wakati mwingine, kwa kuwa watumishi wanaona kuwa ni jambo la mazoea na wanaweza kufanya chochote.
Nilikuwa na...
Haya ni mambo ambayo sisi tunafikiria juu watu wa mikoa ya kusini, ila nao ni watanzania wanaoumia kama watu wengine. Wapo wajinga na werevu, lakini ni muhimu katika ushindi wa Dr. Slaa (for that matter), hilo ndilo la msingi!
Napenda kutambua nafasi ya watu wa mikoa ya kusini kimsingi bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.