NEC Kutopeleka vifaa vya kutosha kwenye majimbo ambayo upinzani una nguvu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC Kutopeleka vifaa vya kutosha kwenye majimbo ambayo upinzani una nguvu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Bobuk, Oct 25, 2010.

 1. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Ndugu wanaJF kuna tetesi kwamba NEC kwa kushirikiana na CCM wamebuni njia ya kuchakachukua matokeo (vote riging) kwa kutopeleka vifaa vya kutosha vya kupigia kura kwenye majimbo yote ambao upinzani unakubalika (strongholds). Usalama wa Taifa tayari umewakilisha majina ya majimbo ambayo CCM haikubaliki kwa "kikosi kazi" cha CCM (chini ya Makamba) majimbo yote ambayo mgombea wa CCM hakubaliki.

  Tayari Makamba ameshapeleka orodha ya majimbo hayo kwa JK, na JK kwa kushirikiana na baadhi wa watendaji wa NEC (Jaji Lewis Makame hajui mpango huo) tayari wameshaandaa mpango huo wa kupelekaka vifaa pungufu vya upigaji kura ila wananchi wengi wa majimbo haya wasipate haki yao ya msingi ya kupiga kura. Tayari viongozi wa CCM wa wilaya wameshapewa maelekezo wawambie wanachama wa CCM wawahi mapema kwenye vituo vya kupigia kura ili wapige kura zao mapema kabla ya karatasi za kupigia hazijamazika.

  Mkakati huo unafanana fanana na ule uliofanyika mwaka 1995 jijini DSM na baadhi ya majimbo ya Zanzibar ambapo mpeleka vifaa alipotea na karatasi za kupigia kura kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 12 jioni wakati vituo tayari vimefungwa ndipo alipofika kituoni kwa kisingizio eti alipotea.

  Sina uhakika kama uongozi wa CHADEMA tayari wameshaupata mpango huu. Mimi nimeelezwa na kada mmoja wa CCM wa ngazi ya juu wa wilaya. Ninaomba mtu yeyote aliyepo karibu na uongozi wa CHADEMA awafikishie huu mpango muovu unaondaliwa kutunyang'anya watanzania haki yetu ya kuchagua viongozi tunaowataka.

  Haki hupiganiwa, Mungu ibariki Tanzania
   
 2. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hii source yake ni wapi?
   
 3. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  lisemwalo lipo na kama halipo linajongea..
  Mana hata mimi ninavofaamu kwnye majimbo ambayo ccm wamezidiwa lazma walete zengwe la kuchelewesha vifaa au kuwa na spidi ndogo ili watu wakate tamaa kwenye foleni
   
 4. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Thanks mkuu tutawafikishia ujumbe wenzetu. Jimbo la Ilemela majina ya watakaopiga kura yalibandikwa ukutani mvua imenyesha karatasi zimechanika na majina hayasomeki tena.Msimamizi wa uchaguzi amesema" sasa sisi tufanyaje? Majina tumeweka ukutani yamenyeshewa na mvua." mpango wa kuweka tena haupo. Chanzo cha habari ni TBc redio taarifa ya habari saa 10 jioni:
   
 5. R

  Rugemeleza Verified User

  #5
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hii si habari ya kupuuza kila njama itafannywa kuhakikisha kuwa Kikwete na CCM wanashinda hivyo ndugu zangu kila hatua zichukuliwe kuzuia hujuma hizi chafu.
   
 6. C

  CAIN Member

  #6
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We endelea tu kuleta uzushi na uchochezi wako hapa ukifikiri hilo litakusaidia.

  Tena na uende ukahakikishe jina lako katika kituo ulichojiandikisha isije fika siku hiyo ya kupiga kura halafu useme hee mbona jina langu silioni. Maana hamkawii watu kama nyie kwenda mmechelewa halafu mnaanza kuvuta midomo.

  Malalamiko na visingizio CCM tumeshavizoea na havikuanza 2015 kwa taarifa yako.
  Nchi itaongozwa na CCM Daima.

  VIVA CCM... VIVA JAKAYA
   
 7. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,742
  Trophy Points: 280
  Wewe unataka source za magazetu tu ndiyo uamini?? Jamaa kasema ameambiwa na kada wa CCM wa wilaya. Sasa sijui wewe unataka amtaje jina au una maana gani?? Wewe hujui kuwa magazeti yenewew huwa yanapata source za habari JF??
   
 8. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wewe mkia hebu nyamaza huko, hii ni mojawapo ya mbinu za kishenzi zinazotumika
   
 9. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,496
  Likes Received: 2,742
  Trophy Points: 280
  CAIN,

  No wonder ulimuua ABEL!!!!!!
   
 10. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145

  Hii arrogance ya ccm ndio itakayowaangamiza. Tangu lini kitu cha binadamu kikawa daima?
   
 11. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 415,716
  Trophy Points: 280
  Safari hii radi haiwezi kupiga mahali palepale marambili...itawala CCM hiyo laivu na watashangaa na masikio yao......
   
 12. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60


  Rudia kusoma alichoandika, inawezekana hukumalizia, au we ni kada wa sisiem umechanganyikiwa
   
 13. r

  robert_m Member

  #13
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Linalokudhulu mtu ni lile usilolitarajia, watu watashinda pale wasipotarajiwa. Hiyo ndiyo true suprise. Siku ikifika imefika!
   
 14. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Uzushi kama kawaida yao hawa jamaa waliojiandikisha hapa karibuni. Tunawafahamu, tunawajua. Kama hakuna source au ushahidi tunatupa dustbin. Hiyo ndio JF pamoja na kwamba we dare talk openly, documentation au ushahidi usiotia shaka unatakiwa.
   
 15. T

  The King JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hili likitokea basi uchaguzi huu hautakuwa huru na wa haki. Kazi kwe kweli kweli! Yaani vifaa vichache kwenye majimbo yote ambayo thithiem hawana ubavu wa kushinda kwenye majimbo yao kila kitu shwari!
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Heshina kwako Dingswayo. Unajua watu wengine hawataki kuangalia historia kabisa ya mabadiliko yanayotokea KANU ilikuwa na nguvu sana kenya ila imekuwa chama cha upinzani sana, watanzania wa sasa sii mabwege tena. Mabadiliko ni muhimu.
   
Loading...